Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 20,274
- 50,084
Pole kwa kuteseka
Poleee dear ex mwenzako nipo salamaa,
Mambo ya mastress nishasahau hizo zamaa,
Alafu sizeeki nadekezwa utadhani mwana,
Tena mchoyo hakiombeki penzi sio la kugawana,
Ujinga wakuombana password za JF kwa sasa hakunaa
Mada inakuhusu wewe mwenyewe sio exAsantee mamiii...yatakwishaa lakini