Pokea pesa kutoka Paypal kuja M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money

Hivi Kuna jipya lolote?
Kuna hii WISE
Screenshot_20220913-120938.jpg
 
Kwani mkuu ile acc yako waliifunga?
Ile account hawakuifunga ila siwezi tena kuitumia kutuma wala kupokea pesa. Pesa yangu waliniambia ninaweza kuwithdraw ila sasa ile line ya safaricom yenye nilikuwa nimejisajilia kwayo ikawa imeExpire tayari so pesa yangu kibao ikapotea. Ila ninayo line ya safaricom nyingine ambayo naendelea nayo vzr na miamala yangu. Na kila mara ninafanya top up ili nayo isije ikiEpire. Nawashukuru sn safaricom aisee
 
Kutop up muhimu na ukichelewa top up inabidi utop up kwa vocha za kukwangua
 
Uko sahihi aisee. Ubize ulinisahaulisha. Sasa ni lini serikali yetu itaanzisha mchakato wa PayPal? Usumbufu na hizi hasara tunazozipata vinaumiza sn
 
Sidhan kama huo mchakato utakuwepo maana kama hadi wanawaza kuongeza tozo kwenye bundle
 
Ile account hawakuifunga ila siwezi tena kuitumia kutuma wala kupokea pesa. Pesa yangu waliniambia ninaweza kuwithdraw ila sasa ile line ya safaricom yenye nilikuwa nimejisajilia kwayo ikawa imeExpire tayari so pesa yangu kibao ikapotea. Ila ninayo line ya safaricom nyingine ambayo naendelea nayo vzr na miamala yangu. Na kila mara ninafanya top up ili nayo isije ikiEpire. Nawashukuru sn safaricom aisee
uhakika mkuu tena ukipata hio laini ya safaricom uka-link m-pesa kwenye paypal ukaangalia jinsi ya ku-verify hata kwa kutumia details fake ukawa verified ili upokee pesa kwa kiwango chochote hata 3000$ utaona utamu wa maisha..asikwambie mtu
 
Kindly nipe connection napataje line ya Safaricom?
 
Ile account hawakuifunga ila siwezi tena kuitumia kutuma wala kupokea pesa. Pesa yangu waliniambia ninaweza kuwithdraw ila sasa ile line ya safaricom yenye nilikuwa nimejisajilia kwayo ikawa imeExpire tayari so pesa yangu kibao ikapotea. Ila ninayo line ya safaricom nyingine ambayo naendelea nayo vzr na miamala yangu. Na kila mara ninafanya top up ili nayo isije ikiEpire. Nawashukuru sn safaricom aisee
Nimei link line yangu ya safaricon na my PayPal account juzi tu hapa,nataka niijaribu kwanza kama inafanya kazi.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom