Point of sale: Nataka kujua gharama na taratibu za umiliki wake

ggenerale

Senior Member
Jan 20, 2018
178
356
Rejea kichwa cha habari,

Ningependa kujua kama nina mini supermarket zangu na nataka kuziwekea mfumo huo, ili Loyal customer wangu wawe wana top up cards na kuswipe tu badala ya kutembea na cash inakuwaje.

Ninajua zipo VISA, MASTERCARD and the rest, lakini mimi ninataka card zangu, je gharama zake zinakuwaje, kama kuna mzoefu kwenye hili anishauri.
 
Rejea kichwa cha habari,

Ningependa kujua kama nina mini supermarket zangu na nataka kuziwekea mfumo huo, ili Loyal customer wangu wawe wana top up cards na kuswipe tu badala ya kutembea na cash inakuwaje.

Ninajua zipo VISA, MASTERCARD and the rest, lakini mimi ninataka card zangu, je gharama zake zinakuwaje, kama kuna mzoefu kwenye hili anishauri

Kwa mtazamo wangu, kuwa na kadi zako mwenyewe ni complicated kiasi fulani na pia itakuwa ina-limit mteja wako uhuru wa kutumia lot yake sehemu nyingine. Kwanini usiwaze kutoa Discount kwao kama vile 3% au 5% kulingana na walivyonunua?.

Lakini pia kama bado upo interested na kadi binafsi pamoja na loyalty program katika POS basi angalia hii. GOFRUGAL Technologies
 
Thanx mkuu,

Nimewatumia request nasubiri mrejesho wao, ni tatoa mrejesho pindi watakaponijibu.

Thanx in advance
 
Kuweka card yako binafsi nadhani itakua ni process ndefu na lazima itahusisha BoT. Labda kma hyo card inabeba tokens or points na sio hela halisi. Kma inabeba hela halisi BoT lazima wahusike.

Kwanini usitumie ule ule mfumo wa MasterCard & Visa + Mobile money
 
Niliwahi kuwacheki BOT, naona kama hawana longolongo sana siku izi..

Naamini ukiwa na Eco System yako ni ngumu kuanza, lakini ni rahisi kutoboa
 
Mm naona ufanyie kazi kwanza ushauri wa ymollel then ndio uangalie jinsi ya kuweka card yako mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom