ggenerale
Senior Member
- Jan 20, 2018
- 178
- 356
Rejea kichwa cha habari,
Ningependa kujua kama nina mini supermarket zangu na nataka kuziwekea mfumo huo, ili Loyal customer wangu wawe wana top up cards na kuswipe tu badala ya kutembea na cash inakuwaje.
Ninajua zipo VISA, MASTERCARD and the rest, lakini mimi ninataka card zangu, je gharama zake zinakuwaje, kama kuna mzoefu kwenye hili anishauri.