Point 4 za Dambisa Moyo (Mwandishi wa Kitabu cha Dead Aid) na Uchumi wa Rais Magufuli

Ukitanguliza purchasing power utasababisha mfumuko bei usio wa kawaida. People have money but compete for few and very limited services. Huduma za kawaida na bidhaa zitakuwa anasa. Utasababisha umaskini usiokuwa wa kawaida and so hukuzi uchumi, unaua.
Sio kweli, hii theory sijui umejitoa wapi,bila shaka wewe ni mcomunisti.. purchasing power inaleta mzunguko wa Pesa katika nchi husika.

Nchi za Ulaya Magharibi zote Zina tegemea purchasing power mbona mfumo wa bei uko stable?

Kama hakuna purchasing power, kama wananchi hawawezi kununua bidhaa, viwanda vitafungwa, Maduka yatafungwa,serikali itakuwa Masikini, kwavile itashindwa kukusanya kodi..

Na hii ndio hali ya Tanzania hivi sasa, Mama nitilia anauza sahani moja kwa siku, anashinda kuwasomesha watoto wake, anashindwa kulipa kodi ya Nyumba anashindwa kwenda sokoni kununua bidhaa, etc, etc

Huo ni mfano mmoja tu, lakini hiyo ni hali halisi kwa kila mfanyabiashara hapa Tanzania..

Tushukuru Mungu, Tanzania tuna bandari, Utalii, na rasilimali nyengine otherwise nchi ingelikuwa isha collapse, wananchi wameshaingia barabarani..

Hayo uliyoyasema hiyo theory yako inaweza kutokea kama Serikali husika haina uwezo wa ku Monitor sarafu yake, mfano, kama Serikali haiwezi kudhibiti biashara haramu kama vile dawa za kulevya, magendo nk..
 
Back
Top Bottom