Pochi la Rais Samia kujenga zahanati kila kijiji

Hili pochi Lingekuwa linatokana Maliasili zetu Kama Madini,Gesi,Chuma Liganga, n.k .
Lakini Sio Kwa Hii Dhulumati Ya Tozo Za Miamala......!
 
Kwa niaba ya wananchi wa Kata ya kibosho Mashariki naomba mama usituletee zahanati bali wahudumu na vifaa tiba Katika zahanati zilizopo inatosha.

Serikali Imekuwa na mtazamo wa kipuuzi wa kufikiri huduma ni majengo, utasikia madarasa na majengo ta vituo vya Afya lakini wahudumu na vifaa Hakuna.
 
Back
Top Bottom