Pochi imeokotwa

Pochi imeokotwa ndani ina D/licence, ATM card ya Equity bank na kitambulisho cha kupiga kura zina jina la Fredy Eden Kivuyo.contact 0715785822 to collect.
Peleka kitu cha polisi mkuu au benk ya equity
 
hakuna hata na senti moja! ama kweli pesa imetoweka kipindi hiki!!!!!
 
Be very careful mjini hapa sasa hivi kuna vituko,huruma yako isije kukuponza ukageuziwa kibao
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Uaminifu ni kitu muhimu ktk maisha,unapokuwa mwaminifu unajijengea heshima katika jamii......
 
Back
Top Bottom