PNU vs ODM agreement | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PNU vs ODM agreement

Discussion in 'International Forum' started by Invisible, Mar 4, 2008.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Mar 4, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Please get your copy if interested to know what was agreed and how. We wish all Kenyans the best outcome from these agreements.

  Sorry for bringing this late as we were facing some probs that were beyond our controls and now back to serve you as we always wanted to.

  United we stand!

  Invisible
  For JF Administration
   
 2. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #2
  Mar 5, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Asante sana Invisible,
  hii copy nimekua nikiitafuta lakini once again you have
  come through.For now we are waiting to see kama this thing
  will come to fruition!Asante mufti!
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Mar 5, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Na ndio maana nikaonelea vema tuwe nayo ili kujua kama makubaliano haya yatatekelezwa na pande zote. Tunawatakia wenzetu mafanikio katika kurejelea amani nchini mwao
   
 4. H

  Hume JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 338
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Mbona Signature ya raila ndo iko kushoto? Ndo kusema yeye ndo alipewa uzito kwanza?

  AU sehemu ya kusign haiimpy chochote? Nimezoea kuona mwenye rank ya juu ndo space yake inakuwa kushoto!
   
 5. K

  Keil JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2008
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kilichonifurahisha ni huo mswada wa sheria ambao naona ni ngumi ya usoni kwa Kibaki na Karua ambaye alipambana kwa nguvu zote kuhakikisha kwamba ODM hawapati nafasi ya Executive PM. Sasa kama atabaki kwenye cabinet ajue wazi kwamba atatakiwa ku-report kwa Raila.

  Mswada ni kitanzi kwa Kibaki kwa kuwa anajua wazi kwamba akim-frustrate Raila, ajue wazi kwamba ODM watajitoa kwenye coalition na hivyo ngoma itawekwa kati na hawezi kupata kitu tena. Maana ECK hawatarudia ujinga waliofanya mwaka jana kwa kuwa kasheshe yake wanaifahamu. Yaani Kibaki hana ujanja kabisa, inabidi atulie kama ananyolewa kwa wembe ama chupa maana akijitikisa kidogo tu ajue kwamba wembe utamkata!

  Je, Kibaki kuonekana kanisani bila ya wapambe wake siku ya jumapili iliyopita ni dalili kwamba washikaji wake wa karibu wameanza kumtosa? Kama wamemtosa, je, hatima ya PNU ni nini? Is this the end of GEMA regime/era?

  PNU wana hali ngumu sana na especially wale ambao walikuwa ni hardliners kama Michuki, Kimunya na Karua. Sijui watawezaje kufanya kazi na Raila ambaye walikuwa wanamsema vibaya plus some other Pentagon members ambao watakuwa kwenye cabinet.

  Nina hamu sana ya kusikia msimamo mkali wa mtu kama Danson Mungatana ambaye nadhani alikuwa anahisi kwenye kujaza mapengo angekumbukwa na kupewa nafasi. Lakini ndoto hiyo sasa haipo tena.

  Mtihani mgumu ni kwa Kibaki, je, atawabeba KANU na ODM-K? Ili kuwabeba kwenye coalition yake lazima awape nafasi za uwaziri ama naibu waziri. Ili hivyo vyama vingine (KANU na ODM-K) vipate mawaziri lazima baadhi ya washikaji kutoka GEMA watemwe, je ataweza kuwatema???????
   
 6. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2008
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280

  Mhhh...Keil maswali magumu hayo. Yaani nikiyafikiria nerve zinapata baridi. Sijui KARUA NA WENZAKE WATAJIFICHA WAPI, akina Uhuru na wenzake maana kama cabinet ni 50%-50% wafuasi wengi wa Kibaki watatemwa...what I see the likes of Mudavadi and Ruto have a bright future in Kenyan Politics. But as we all know, politics is the art of compromise! Yote yanawezekana.

  Tuwatakie kheri.
   
 7. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #7
  Mar 5, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Hahaha!!!...Ndume wewe
  U are now going into aesthetics of space!!
  Raila amepata mamlaka aliokua anataka na wakenya
  wote wanataka hivyo!!!
   
 8. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #8
  Mar 5, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Invisible,
  Guess what?..nd'o yaliotokea 2002 ambapo Kibaki aliingia
  agreement na kina Raila kisha akawatema.This man is not
  trustworthy no more and we have to have everything out in
  the open.Unajua this guy can turn around and say he did not
  sign an agreement ama the agreement did not contain pointers
  on power sharing.Thats how hard it is to spread democracy in
  Kenya....Mie husema haidhuru Bongo mara mia despite our
  challenges.
  Kwa hivyo I hope this thing works out for Kenya and to a
  larger extent the wider East Africa Community.Bado M7 naye
  abishiwe hodi hapo kwake.
   
 9. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #9
  Mar 5, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Ukweli ni kwamba the careers of some of these people
  will go down the drain...mathalani..Kalonzo na Karua!
  She put pride before a fall or the interests of the
  nation.Wala hujakosea kusema kua the careers of the likes
  of Mudavadi na Ruto are about to explode to greater heights!!
   
Loading...