PM Pinda sasa kufanya 'maamuzi magumu'...?

..hakuna lolote huyu siku hizi nae kafundishwa usanii na boss wake na hata namna ya kuuza nji kwa visingizio vya uwekezaji, na kupiga misele nje ! Hana lolote na hafai hata kidogo kuitwa mtoto wa mkulima ! Si aliwahi tishia nyau kuwa kuanzia mwaka jana hakuna kununua mashangingi bila idhini yake...? Mbona sasa yananunuliwa kama njugu kila kona. Hata halmashauri nyingine hazina kartasi za kuchapa wala kurudufia, let alone pesa za mafuta ya magari kuzolea uchafu lakini DED anaagiza shangingi jipyaa, na lililokuwepo wanajiuzia kwa just 2M.... !!

At times one wishes to contact alshabab na kuwapa kazi ya kuwavizia hawa wakiwa wanapeana dili zao za kuimaliza nchi na kuwafyekelea mbali...
 
nilidhani jambo la maana kumbe ni ushuzi wa maharage na kande!
 
Back
Top Bottom