PM Pinda kufanya ziara ya siku 8 Mkoani Kagera kuanzia Kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PM Pinda kufanya ziara ya siku 8 Mkoani Kagera kuanzia Kesho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mathias Byabato, Mar 3, 2011.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Nimepokea taarifa kwa vyombo vya Habari kutoka kwa RC wa Mkoa wa Kagera kuwa Mtoto wa mkulima,Waziri mkuu wa TZ kuwa atafanya ziara ya kikazi mkoani humo kuanzia kesho march 4 hadi march 12 akitembelea wilaya zote za mkoa huo.

  Hii ni mara ya kwanza kwa PM Pinda kufanya ziara ya kikazi mkoani Kagera.

  Nitakuwa katika ziara hiyo mwanzo-mwisho, hivyo nitawajuza mapya yatakayojiri

  Mh Pinda Karibu Kagera

  Byabato
   
 2. Novatus

  Novatus JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 331
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tujuze kilas ukipata
   
Loading...