PM Majaliwa awaambia wafanyabiashara,Tanzania kuna "political stability"

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,170
103,637
Akiongea na wafanyabiashara akimwakilisha Rais John Pombe Magufuli,Waziri Mkuu Majaliwa amewaambia wafanya biashara kwamba Tanzania ni sehemu sahihi ya kuwekeza kwa sababu imejaa amani na imara kisiasa.

Waziri mkuu amesisitiza kuwa Tanzania ina political stability hivyo ni sehemu rafiki sana kwa wafanya biashara kuwekeza kwani watafanya biashara zao kwa amani kijamii na kisiasa

Nini maoni yako
 
yupo sahihi kwa sababu mwanaCCM avyoidifaini political stability ni tofauti sana na anavyoidifaini muhanga wa kamata kamata.
 
Kwanini waziri mkuu anaongelea political stability in the first place.

Yani imekuwaje mpaka tunataka kuwa assure wawekezaji kwamba we are politicaly stable?

What caused the notion that , 'we are politically unstable?

Halafu, tunakuwa tu political y stable kwasababu Pm amesema?
 
Back
Top Bottom