PM from charminglady to bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
ndugu wapendwa,naomba ushauri,kwenye inbox yangu nimekuta hii PM:
ankali bishanga,shikamoo.
Mala baada ya saramu naomba nifunguke,kusema kweli ankali nimekuzimikia sana,achana hao wazushi kina @C6,kwanza bado wanavaa kaptura na ni masakapoko.Ankali sema utakacho nitakupa ili mradi niwe hawara yako.
Wako katika rindi la mahaba.
charminglady
nimjibuje wakuu ukizingatia mtoto mwenyewe yuko la saba mbuyuni praimari.
 
Last edited by a moderator:

ndo maana naomba talaka
 
Last edited by a moderator:
Huyo charminglady anayezungumziwa si huyu dada yako...
hivi unajua wamemwibia laptop, tena aliyeiba hiyo laptop ni mdogo wa kike wa Bishanga eti alidhani ni kile kibao cha jikoni cha kukatia nyanya na vitunguu.
Hahahaha! Mie si ndo nkashangaa manake wazazi mshajilia mahari ya C6 lol. Familia ingeingiaje aibu dady?
 
Last edited by a moderator:
Kaka Bishanga boss wangu si minor

Back
Top Bottom