PM aoa na kuacha within 24 hours

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
200
69
1. Ni Morgan Tsvangirai wa Zimbabwe
2. Adai chanzo cha yeye kuingia mitini ni "kuingiliwa na vyombo vya usalama"

3. Akubali kutoa faini ya ng'ombe
4. Apata jiko jingine jipya
5. Aliyeachwa apata mshtuko, apata miscarriage
6. Aenda mahakamani kupinga ndoa mpya ya ex-hubby

Mke aliyeachika, Locardia Karimatsenga Tembo
locadia.jpg

Jiko jipya, Elizabeth Macheka

Elizabeth.jpg




 
Back
Top Bottom