Plz kwa wale wataalamu wa uwakala wa voda na tigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plz kwa wale wataalamu wa uwakala wa voda na tigo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by sajosojo, Jul 17, 2012.

 1. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 819
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Hivi ni lazima kuweka milioni moja kwenye account ukishapewa till namba au unaweza ukaweka hata pungufu?
   
 2. chash

  chash JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kama hela yako haitoshi na wanadai uweke m1, kopa mahala uiweke, ikisha ingia kwenye float yako deposit kwenye simu yako binafsi na utoe cash kwa wakala mwingine.
   
Loading...