Plz cheki hii: Moja ya picha za rais wenu akiwa marekani...jamaa ni nouuma!!!!

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
...Hii ni moja ya picha za JK akiwa marekani.............toa maoni plz!!!! LOL.jpg
Hizi ni moja ya sababu kuu zinazomfanya JK kufanya safari nyingi kwenda Marekani kwa kisingzio cha kuomba misaada....shame on you mr president...
 
Jk ndani ya red carpet with a model....! Mh kazi ipo.. Labda ndo strategies zake za kuitangaza nchi! Lol
 
...Hii ni moja ya picha za JK akiwa marekani.............toa maoni plz!!!!View attachment 37739
Hizi ni moja ya sababu kuu zinazomfanya JK kufanya safari nyingi kwenda Marekani kwa kisingzio cha kuomba misaada....shame on you mr president...
Uongo na uzushi, hii ni photoediting/adobe a.k.a...??? kwa sababu hakuna source.
 
Kawaida ya protocali ya ustaarabu wa binadamu, mkubwa kwa heshima huwa anakaa upande wa kushoto wa mdogo. Hata Bibi harusi huwa anatakiwa akae mkono wa kushoto wa Bwana Harusi. Sasa kwa hii picha nimepata picha!

LOL.jpg
 
...Hii ni moja ya picha za JK akiwa marekani.............toa maoni plz!!!!View attachment 37739
Hizi ni moja ya sababu kuu zinazomfanya JK kufanya safari nyingi kwenda Marekani kwa kisingzio cha kuomba misaada....shame on you mr president...

ajabu nini zaidi ya kusema kawivu kamekudata? kwenye form ya uraisi sifa ya upadre ipo? hebu tuondolee umaskini wako?
 
[COLOR=#ff0000 said:
Bongo Pix Blog;[/COLOR]2539681]Mkono wa kulia siuoni jamani, huko wapi vile?
Mkuu naona umekuja kikazi zaidi ukijaribu kukipa Promo kablog chako.
 
Ndiyo hii ni photo edit ukitaka kujua angalia picha ya JK kwa nyuma karibu na masikio kuna kivuli ambacho kinaonesha wazi kuwa picha ya JK imepachikwa.

AM A GRAPHIC DESIGNER hii ni real na hicho kivuli ni taa za camera za tv huoni banner nyuma hapo? mijitu mingine bwana
 
She got a wife and nice kids they havent complained,why you for gods sake,life is so private to some private stuff and be private to private
 
Back
Top Bottom