Tulitaka apige na wewe.kawaida sana, kwani mlitaka apige na ma bouncer?
Uongo na uzushi, hii ni photoediting/adobe a.k.a...??? kwa sababu hakuna source....Hii ni moja ya picha za JK akiwa marekani.............toa maoni plz!!!!View attachment 37739
Hizi ni moja ya sababu kuu zinazomfanya JK kufanya safari nyingi kwenda Marekani kwa kisingzio cha kuomba misaada....shame on you mr president...
...Hii ni moja ya picha za JK akiwa marekani.............toa maoni plz!!!!View attachment 37739
Hizi ni moja ya sababu kuu zinazomfanya JK kufanya safari nyingi kwenda Marekani kwa kisingzio cha kuomba misaada....shame on you mr president...
Hii si photoshop kweli?
Mkuu naona umekuja kikazi zaidi ukijaribu kukipa Promo kablog chako.[COLOR=#ff0000 said:Bongo Pix Blog;[/COLOR]2539681]Mkono wa kulia siuoni jamani, huko wapi vile?
Uongo na uzushi, hii ni photoediting/adobe a.k.a...??? kwa sababu hakuna source.
Ndiyo hii ni photo edit ukitaka kujua angalia picha ya JK kwa nyuma karibu na masikio kuna kivuli ambacho kinaonesha wazi kuwa picha ya JK imepachikwa.
Mkono wa kulia siuoni jamani, huko wapi vile?