Plump GLaziers in a bid to knock out weedy Abramovich............today at 9.45p.m | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plump GLaziers in a bid to knock out weedy Abramovich............today at 9.45p.m

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Apr 12, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  Manchester United v Chelsea

  This week's winner is Wuggy Lemass, who gets a copy of Brand it Like Beckham by Andy Milligan. Second prize, a copy of The Boy Who Wanted to Fly by Don Mullan, goes to Steve Fuller. Next we'd like to see your takes on Arsenal's American takeover. Send them to gallery@guardian.co.uk by noon on Monday 18 March as a jpeg or gif, complete with a CAPTION. Anyone who forgets will be forced to grow a Stan Kroenke 'tache
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  Jason Froggett gets the ball rolling this week by asking: 'Is it East v West, or man mountain against mountain of debt?' Photograph: Photomontage   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  <table class="contentpaneopen" border="0"><tbody><tr><td class="contentheading" width="100%">Man United, Chelsea hapatoshi </td> <td class="buttonheading" align="right" width="100%"> Send to a friend </td> </tr> </tbody></table> <table class="contentpaneopen"><tbody><tr> <td class="createdate" valign="top"> Monday, 11 April 2011 21:25 </td> </tr> <tr> <td valign="top">

  LONDON, England
  REAL Madrid, Barcelona na Schalke 04 zitakamilisha mechi zao baada ya kujihakikishia kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa huku wakiziacha Manchester United na Chelsea zikiwa na nafasi sawa.

  Real, inaonekana kutaka kuweka rekodi ya kutwaa ubingwa mara ya 10 baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 katika mchezo wa kwanza dhidi ya Tottenham, Barcelona ikiifuata Shakhtar Donetsk ikiwa na hazina ya mabao 5-1 huku Schalke ikijidai na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Inter Milan ambao ni mabingwa watetezi.

  Baada ya mechi hizo, Real itakutana na Barcelona kaika nusu fainali yab kwanza wakati Schalke itakuwa ikisubii mshindi wa mchezo kati ya United na Chelsea.United leo itakuwa inaingia uwanjani ikijidai ushindi wake wa bao 1-0 dhidi ya Chelsea lakini kocha, Alex Ferguson alisema baada ya mshambuliaji wake, Wayne Rooney kumbeba kwa bao la ugenini kuwa mechi itakuwa ngumu.

  Vijana wa Ferguson wamekuwa hawatabiriki, waliwahi kutwaa ubingwa ndani ya dakika mbili za mwisho na kuweka rekodi ya aina yake.Kikubwa tunaangalia tuko nyumbani Old Traffordómashabiki watakuwa wakituunga mkono kwa nguvu zote,î aliwaambia waandishi w ahabari.

  ìTumepaa goli moja ugenini, lazima tucheze kwa uangalifu zaidi kulinda ushindi wetu.Kocha wa Chelsea, Carlo Ancelotti, alisema kuwa anaweza kurejea ushindi wake wa mabao 2-1 walioupata katika mechi za Ligi Kuu dhidi ya United msimu uliopita.

  ìTunafahamu itakuwa ngumu kushinda pale,î Ancelotti alisema, ìLakini tutajitahidi kufanya vile tulivyofanya mwaka jana Old Trafford.Mbali na hayo, kutakuwa na hali ya wasiwasi kwa Manchester, Real nayo kesho itakuwa ikirudiana na Spurs kwenye Uwanja wa White Hart Lane huku wakijidai na ushindi wa mabao 4-0.

  Spurs itakuwa bila mshambuliaji wake, Peter Crouch, aliyesimamishwa baada ya kulimwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa Santiago Bernabeu.Pepe naye hatochezea Real na mashabiki wa Spurs wamesema kwamba wataishangilia timu yao kwani kipigo walichopata siyo mwisho wa timu yao.

  ìNi uzoefu mkutbwa tumepata na naamini itakuwa shughuli pevu kesho, tutacheza kwa nguvu zetu zote zote kesho,î alisema kocha wa Spurs, Harry Redknapp.

  ìSiwezi kujiuzulu kwa kufungwa hayo na nasema tutacheza, lakini bado si amini kama tutaweza kuifunga Real Madrid mabao 5-0.Kocha wa Real, Jose Mourinho anaweza kupumzisha wachezaji wake muhimu akiitazama zaidi mechi ya Barcelona ambayo iliitandika Shakhtar 5-1 kwenye Uwanja wake wa Nou Camp wiki iliyopita.

  Kwa Barcelona ambayoitakutana na Real katika mechi ya La Liga Aprili 17 na katika Fainali ya Kombe la Mfalme Aprili 20, timu hizo kubwa zitapambana mara tatu ndani ya wiki tatu.

  Kocha wa Barca, Pep Guardiola ni wazi hataki kujiwekea mambo mengi dhidi ya Shakhtar leo licha ya kukosekana Andres Iniesta.Guardiola pia atamkosa Carles Puyol na Eric Abidal wakati washambuliaji Bojan Krkic atakuwa nje ya dimba kwa wiki nane.

  Real itakuwa ikimtegemea sana Kaka ambaye aliiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Athletic Bilbao wiki iliyopita katika La Liga.Barca itakuwa na chipukizi wake akiwemo Thiago Alcantara, ambaye alitimiza miaka 20 jana ana alikuwa katika kikosi lkilichoichapa Almeria 3-1.

  Schalke, ambayo ni timu ya kwanza kufunga bingwa mtetezi mabao matano, kwani watakuwa wakicheza kujihami zaidi na kuwapa raha mashabiki wake kucheza nusu fainali kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo.</td></tr></tbody></table>
   
 3. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  and united are thru to the semis on 3-1 goals on aggregate
   
Loading...