Pls nendeni majumban mwenu jamani!!!!0500pm

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Nendeni majumbani wmenu jamani
kumekuwa na tatizo kubwa la watu kubaki ofisini na baada ya muda kwenda
kwenye vijumba vidogo...sasa kama wwe ni mmoja wapo kusingizia
folen leo akuna folen karibu dar nzima embu nenda kwako pls..huyo wa nyumban
nae anaitaji haki yake jamani
 
Nitonye nasema nenda nyumbani atutaki siku ya mwisho tunakuaga wanaibuka watoto kudai baba yako kafa nenda nyumbani teafadhali kwa mama wattoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom