pls help me

Mi natumia microsoft security essentials huu mwaka wa tatu na naona nzuri 2,jaribu kuipata,
hata mi nakushauri GO FOR IT!! iko simple(haina complication nyiiiiingi) na inafanya kazi fresh sana tu...zaidi ya yote ni ya microsoft wenyewe na wanaitoa free ikiwa na features zote kama antivirus inavyotakiwa kuwa ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom