Mazingira
JF-Expert Member
- May 31, 2009
- 1,833
- 298
Wande, kama hizo plots ni zako basi nakupongeza sana, na kama kweli zina title deed, ndio kabisaaa hongera
lakini ngoja nikupe ukweli kidogo, nijuavyo mimi viwanja vingi vya maeneo hayo huwa vina offer na vochas tu halafu title unaandikiwa ukilipa hizo pesa... Hizo prices sio throw-away kabisa, kwani wizarani ni sh. 2-3M , na watu wa wizara wanagawiana vocha kumi-kumi na kunyima haki watanzania wenye mahitaji halisi ya ardhi halafu badae wanalangua kwa watanzania maskini we nye genuine problems. Pale wizarani kuna ka-ufisadi fulani
Ni kweli kabisa mkuu. Kuna jamaa kanunua kiwanja kwa mtu wa wizarani kwa 10m wakati yeye alikinunua kwa laki 9 tu, you can imagine.