Plots (with Title deeds) in Buyuni and Kigamboni are for sale at throw away Prices | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plots (with Title deeds) in Buyuni and Kigamboni are for sale at throw away Prices

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Serendipity, Nov 26, 2009.

 1. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Four plots are for sale now, three are located at Buyuni and one in new Kigamboni city.
  Plot no 1. a comercial cum residentian plot which contain 1370 sq meter, Price Tsh 9,000,000
  Plot no 2. Residential plot containing 1030 sq meter, Price Tsh 7,000,000
  Plot no 3. Residential plot containing 980 sq meter,Price Tsh 6,000,000
  Plot no 4. Residential plot containing 720 sq meter,Price Tsh 10,000,000(New Kigamboni City- Kibada)

  For further inquiries; dpwande@gmail.com
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Where is Buyuni?
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wande, kama hizo plots ni zako basi nakupongeza sana, na kama kweli zina title deed, ndio kabisaaa hongera

  lakini ngoja nikupe ukweli kidogo, nijuavyo mimi viwanja vingi vya maeneo hayo huwa vina offer na vochas tu halafu title unaandikiwa ukilipa hizo pesa... Hizo prices sio throw-away kabisa, kwani wizarani ni sh. 2-3M , na watu wa wizara wanagawiana vocha kumi-kumi na kunyima haki watanzania wenye mahitaji halisi ya ardhi halafu badae wanalangua kwa watanzania maskini we nye genuine problems. Pale wizarani kuna ka-ufisadi fulani
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,244
  Trophy Points: 280
  buyuni iko kama kilometa 50 hivi kuanzia kigamboni,
  ni mwendo wa saa nzima na dakika kumi na tano,
  barabara ni ya vumbi lakini inapitika.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Just imagine, 50Km vumbi road and a plot ni 9M, na hiyo ndio throw-away price
   
 6. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kama ni 50 km away from kigamboni, why not look for a plot Kibaha ambako barabara ni ya Lami na less KM? the price is too high kwa umbali huo.
   
 7. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2009
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Biashara ya viwanja hapa Dar ni Hot Cake sana!! But kwanini nyie watu mnataka kufanya mzaha na pesa za watu???? yaana nikanunue kiwanja km 50 from town, Then rough road!! COME ON. come up with a reasonable Price man!!!
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Iko plot moja kule Kawe beach 0.68 of an acre inauzwa $950,000....imagine hii ni Tanzania
   
 9. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2009
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Hii nchi bana!!! mnyonge mnongeni hadi afe lakini haki yake mpeni basi. when will all this rubish End??? To me I can call it Rubish coz its no favouring me. Lakini hao mafisadi wanaonunua viwanja kwa $95000. and make prices to hike in everything your Days are numbered!
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  A 12x20 metres plot in Mikocheni will fetch $50,000
   
 11. H

  Heri JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Buyuni siyo Kigamboni bali ipo wilaya ya Ilala kabla ya kufika Chanika
   
 12. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  BUJIBUJI acha kuchonga pumba, usipotoshe umma! Buyuni ni km 27 tu kutokea city centre na ni lami tupu. Hivi viwanja vipo kwenye mradi wa viwanja 20,000 jijini dar es salaam. Viwanja vimepimwa na miundombinu imeshawekwa, barabara za kutenganisha mitaa zimeshachongwa na baadhi ya watu wameshaanza kujenga huko.
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Duh, ninayo sinza ya 19x26 kwa 30 njoo nikupe hata kesho!!! safi kabisa 100m from kwa remi
   
 14. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Unaongelea mwaka gani? Kwa taarifa yako, tangu tar 1 July 2009, wizara ya ardhi imepandisha bei ya viwanja per sq meter, kwa bei hiyo uliotaja labda ukanunue viwanja hambavyo havijapimwa,Pili thamani ya ardhi inapanda kadri siku zinavyosogea, tofauti na,mathalani,gari ambapo kila sikuzinavyosogea thamani yake inapungua!
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wande ni kweli labda jamaa kachanganya tu!!! Lakini je bei hiyo ni ya kutupa?? je hizo offer/title/vocha sio kwamba jamaa wa pale wizarani wanafisadisha?

  Please mkuu, wengine mishara ya laki nne na serikali inawaandalia hivyo viwanja halafu wachache wanafisadisha... is that humane?
   
 16. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwakeli hiyo issue ya wizarani mimi siijui na wala siwezi kulisemea kwani sifanyi kazi huko wazarani.
  Bei ni ya kutupa kutokana na demand NA UKUBWA wa viwanja hivyo, na pia angalia bei za watu wengine wanaotangaza humu ndani ya JF,(kuna mmoja alikuwa anauza 600sqm for 6m)Hivi viwanja ni vikubwa na kama ndugu yangu unamipango ya baadae(say 5 or more years to come) hii ni nafasi nzuri ya kujiwekea hazina kwa familia yako na watoto wako!
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wande, sina nia ya kukuharibia biashara, nimepata kiwanja cha kibada cha 43x29 (1247) mwaka huu july kwa milioni nne na nusu lakini nilijaza vocha ya millioni 2 na ushee aisee

  Naisifia mvua kwasababu imeninyea!! sasa basi sio buyuni tu, kuna kibada, mwongozo, mbweni, bagamoyo (ukuni) nk. its the same game mkuu
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Narudia tena rafiki, sikupingi ila nauliza tu is it fair kwa wale jamaa wa ardi ku-inflate prices??? Nina hamu ya kuwa na viwanja titatu kwa kila mtoto wangu na mke wangu lakini kutokana na poor quality assurance wizarani maskini wanakosa haki!!!

  Nina hamu siku moja tupate haki kwenye ardhi... that being said bado tunanunua kwa shida
   
 19. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  MTM, asante sana yaani hapo umemaliza kila kitu...sina tena la kuchangia...
   
 20. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2009
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,812
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  ..bandugu kuna buyuni ya kigamboni na ya ilala, kila wakati si jioni..
   
Loading...