Plots(surveyed) zinauzwa ziko kigamboni mita 500 kutoka beach

Plots ziko mita 500 kutoka beach na zingine zinatazama barabara kuu ya kwenda ferry eneo la changani beach km 20 kutoka ferry,bei ni tsh 5000per square metre zimepimwa(surveyed).kwa maelezo zaidi.MALIPO YA INSTALLMENT YANAKUBALIKA KWA MIEZI ISIYOZIDI 12
wasiliana nasi kwa namba 0754 450 803

Tupe anuani na location ya mmiliki na contact zote ikiwemo Landline kama ni office, maana nimempigia akasema office ziko kinondoni.

Halafu tupe Plan Number, BLK NO range ya plots tuweze kwenda ardhi kuhakiki.
 
Next Level vipi hujatia timu hapa! Hebu fanya utafiti mara moja, hii yaweza kuwa deal sio zile za Kitomari anayeuza mpaka jua na mianga kwa mabilioni ya hela. Hawa jamaa hapa wanaonekana wako realistic na mifuko yetu...si wale wanao watarget akina riz1 etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom