Plots for sell

manyusi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
292
170
Two plots for sell located at Mbezi makabe,size of each plot 24x25 and the price per plot Mill 2.5,for those who are interested call 0713876210
 
Unaweza kuchanganya watu. Nadhani it is either 'Plots for Sale' or 'Plots to Sell'. Samahani lakini.
Anyway, hata mi nimevipenda.
Je vipo sambamba kwamba unaweza kuchukua vyote viwli pamoja kwa maana ya 48x50 ama vipo mbali mbali?
 
Baba Desi kama viko pamoja kwa maana yako vinakuwa 48x25 sio 48x50 mkuu.......
 
Kwa bei hiyo ni sawa viwanja vya size hiyo ndo bei zake,labda kikiwa chanika ndo kitakuwa na bei chini kidogo lakini mbezi,kimara,boko,buju is allmost the same price
 
Unaweza kuchanganya watu. Nadhani it is either 'Plots for Sale' or 'Plots to Sell'. Samahani lakini.
Anyway, hata mi nimevipenda.
Je vipo sambamba kwamba unaweza kuchukua vyote viwli pamoja kwa maana ya 48x50 ama vipo mbali mbali?

Vipo mahali pamoja vimeungana kwa hiyo unaweza ukanunua vyote ni eneo ambalo ukiunganisha unajenga nyumba mbili na kupata eneo la parking au garden
 
BabaDesi, ukiviunganisha vyote viwili vya 24x25 haiwezi kuwa 48x50. itakuwa either 48x25 or 24x50, nafikiri hesabu za mstatili zilikupiga chenga kidogo. hilo lilikuwa angalizo tu. Manyusi, vipi hivi viwanja vimepimwa? na viko along main road? asante
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom