plot with "dilapidated" house for sale at survey area- UDSM

Who Cares?

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
3,507
3,364
Plot yenye ukubwa wa 450 SQm inauzwa. ipo maeneo ya savei katika decent neighbourhood na inafaa sanaa kwa ujenzi wa nyumba ya makaazi au hata biashara kwa maana ya hostels kwakuwa ipo karibu sana na UDSM na Ardhi University...a walking distance to MLIMANI CITY
BEI NI TSHS 100,000,000/=...MAJADILIANO YAPO....kwa maelezo zaidi hasa wanunuzi makini karibuni (Prime Ministersoffice Yangu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom