Plot to assassinate Speaker Sitta

Kubwajinga

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,194
297
By ThisDay Reporter
23rd February 2010

THE Speaker of the National Assembly, Samuel Sitta, was at the centre of an assassination plot in Dodoma last year, it has come to light.

According to well-placed sources, the alleged attempt to eliminate Speaker Sitta (pictured) was timed for the 2009 marathon budget session stretching from June to August.

Details of the plot revealed exclusively to THISDAY suggest that it was to be carried out early in the morning, as the Speaker headed towards the parliamentary building in the designated capital to preside over the 9 am opening of the day's session.

It has emerged that a four-wheel drive vehicle with a reinforced bull-bar or grill-guard was to have been rammed at full speed straight into the Speaker's official saloon car.

An impeccable source familiar with the plot told THISDAY: "The goal was to make it look like an accident...the would-be assassins were convinced that the Speaker wouldn't have survived such a crash the way they had planned it.

"The plan was for a 4x4 truck to hit the Speaker's car on the side where the Speaker himself was seated, to ensure maximum effect."

The unknown individuals behind the plot are reported to have carried out a thorough reconnaissance of the Speaker's movements in preparation for a possible hit.

"They knew the exact route used by Speaker Sitta's driver from his house to the Bunge grounds in the morning, and had even picked a spot where the assassination attempt would have taken place," said the source.

He added: "A thorough reconnaissance was conducted by those behind the plot, apparently through visual observation and other detection methods. They had all the information necessary for an attempt on the Speaker's life."

The sources quote witnesses as saying a group of about four men was overheard during the budget session discussing plans for the assassination attempt, especially how to make it look like an accident.

It is said that afterwards, two members of the group left the meeting point in a registered taxi, with one of them driving the vehicle.

It is understood that the office of the Dodoma regional police commander was tipped by a witness about what was going down.

Sources say a 'Good Samaritan' volunteered information to the police in Dodoma about the assassination plot, and also provided the registration number of the vehicle used by the potential assassins.

However, none of the four would-be assassins has been identified todate.

When asked by THISDAY if the police had opened an investigation into the matter, Dodoma regional police commander Zelothe Stephen would neither confirm nor deny the reports.

"This is a very sensitive matter. Even if it were true, I could not discuss it with you over the telephone," RPC Zelothe stated by phone from Dodoma.

Sitta himself was yesterday not immediately available to comment on the reports of an alleged assassination plot targeting him. It is unclear if he was ever aware of it.

However, in July 2009 – around the same time that the alleged assassination plot was being hatched in Dodoma – the Speaker made a public call to the authorities to tighten his personal security detail, stating openly that he feared for his life.

In a surprise announcement in parliament, he told Prime Minister Mizengo Pinda that he felt his life could be in danger.

The incident occurred at the height of parliamentary debate on the Richmond power generation scandal.

Some members of the parliamentary probe team investigating the Richmond corruption scandal have also declared in parliament at one time or another that they had received death threats from unknown people.

The Richmond scandal led to the resignation of the then prime minister, Edward Lowassa, and two other cabinet ministers - Nazir Karamagi and Dr Ibrahim Msabaha - in 2008.

Igunga MP and prominent business tycoon Rostam Aziz was also heavily implicated in the scandal.
 
  1. Kama serikali/polisi walizipata hizi habari, inakuwaje hakuna aliyekamatwa hadi hivi sasa?
  2. Hao wahusika wana ushawishi mkubwa kiasi gani kwa serikali/JK kiasi cha jambo zito kama hili kupita kimya kimya?
 
Inaonekana kambi ya Sitta inatafuta public sympathy kwa gharama yeyote ile..habari za kina mengi (pro-sitta) hazina ukweli zaidi ya ushabiki
 
Inaonekana kambi ya Sitta inatafuta public sympathy kwa gharama yeyote ile..habari za kina mengi (pro-sitta) hazina ukweli zaidi ya ushabiki
Sidhani kama ni ushabiki huwezi kuwa na ushabiki kwenye mambo ya kifo tusitoe conclusion kabla ya kuijadili nafikiri kuna watu watakuja na more info lakini cha ajabu pamoja na polisi kupewa number plate ya taxi bado hata mtuhumiwa mmoja hajakamatwa au wanaficha ukweli
 
Huyu Sitta ni msanii tu.Baada ya kuuhadaa umma kwa kujivisha kilemba cha "ukamanda wa wapiganaji dhidi ya ufisadi" na kisha "kulegea" katika kikao cha Bunge kilichoisha hivi karibuni,sasa anahaha kutafuta sympathy kutoka kwa jamii.

Wamuue ili iweje?Mbona yuko hai na bado Richmond imezimwa kiulaini?
 
Sidhani kama ni ushabiki huwezi kuwa na ushabiki kwenye mambo ya kifo tusitoe conclusion kabla ya kuijadili nafikiri kuna watu watakuja na more info lakini cha ajabu pamoja na polisi kupewa number plate ya taxi bado hata mtuhumiwa mmoja hajakamatwa au wanaficha ukweli

Sitta si ndiyo huyu huyu aliomba kuongezewa ulinzi akaongezewa anapenda madaraka na power..lets wait n C

Naamini hii ni safari za 2015 we subiri utaona
 
Siwezi kununua huu uzushi.Wanasema watu wanne wasiojulikana halafu mwisho wa hadithi yao wanataja watu walewale wanne ambao ndiyo wahanga wa Richmond indirectly wakiwahusisha na hiyo plotting..Halafu issue ni 2009,almost mwaka ushakatika,ina maana hizi habari wamezipata jana?
Siasa kweli ngumu!
 
Huyu Sitta ni msanii tu.Baada ya kuuhadaa umma kwa kujivisha kilemba cha "ukamanda wa wapiganaji dhidi ya ufisadi" na kisha "kulegea" katika kikao cha Bunge kilichoisha hivi karibuni,sasa anahaha kutafuta sympathy kutoka kwa jamii.

Wamuue ili iweje?Mbona yuko hai na bado Richmond imezimwa kiulaini?

Inawezekana imezimwa ili kusevu maisha yake baada ya kuona yako hatarini. Mhhhhhhh! TZ bwana!
 
Kama ni kweli walitaka kum assasinate Speaker six basi lazima itakuwa kwasababu ya maugomvi yao binafsi kama waziri mkuu alivyosema,kwahiyo hayo ni mambo ya bungeni ya binafsi dhidi ya wenyewe kwa wenyewe na wananchi hawatakiwi kuamini....Kwa kifupi hizi ni porojo.
 
it is worthless to waste time and resource to assasinate him...he has no impact in this country...hakuna hata kuhangaika kumuwekea sumu ya panya
 
tanzania ambayo ni kama paradiso sasa ni junction ya kuuana tu pengine muzimu wa kina sokoine, korimba, kombe, na wengineo bado unalitafuna taifa yaani watu wasiseme ukweli kosa, hiiiviiiiiiiiii! hi ni niniiiiiiiiiiiiiii? shame to you tanzanian
 
Inaonekana kambi ya Sitta inatafuta public sympathy kwa gharama yeyote ile..habari za kina mengi (pro-sitta) hazina ukweli zaidi ya ushabiki
supported

If you discuss Sitta you discuss CCM! so is the case for EL, RA,Kilango etc

Hivi ni lini tutaamka na kujua hii ni mbinu tu ya CCM kutaka tuwajadili wao, hivi leo watu wataipa kura CCM, simply kwa sababu kuna 'mpiganaji' anaitwa Sita!

Sita ni fisadi wa damu na genes kama wengine wote CCM, hakuna alityetaka wala atakaye muua sita kwa mambo yake ya bungeni, asitake umaarufu na kujipalilia njia ya kuukwaa tena uspika!

wamuue yeye nani? ufisadi miaka 5 unasemwa tu hajafanya lolote, sana sana ni usanii tu a kuzungukana

Spika kama atauawa atauawa kwa unafiki wake na sio kwa upiganaji wake, huwezi kuwa kambi ya Kikwete at the same time ujifanye unatetea wananchi.
 
Inaonekana kambi ya Sitta inatafuta public sympathy kwa gharama yeyote ile..habari za kina mengi (pro-sitta) hazina ukweli zaidi ya ushabiki

Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya vyombo vya habari na Sitta. Mengi ameanzisha vyombo vyake vya habari hata kabla Sitta hajawa Spika. Mengi ni tofauti na RA ambaye alianzisha magazeti ili kuficha madudu yake ya ufisadi.
 
Back
Top Bottom