KIWANJA kinapatikana BUNJU 'A'
ukubwa wa kiwanja ni sqm 600 (30*20)
Kipo tambarare chote.
Umbali kutoka BAGAMOYO road ni 1.5m
Kiwanja kina hati miliki.
Bei: 18m
Contact: 0785 857564
View attachment 1266214 View attachment 1266215 View attachment 1266216
Upande wa kushoto kutoka mjini/Mwenge.Upande gani wa Bunju mkuu?
Upande wa beach au upande wa juu ,mashambani?
Nadhan ungekiona kwanza, ndipo mazungumzo mengine yaendele.BEI YA MWISHO HII MKUU KWENYE PM
Nasikia ardhi huwa inapanda thamani kadri siku zinavyoenda! Hiki kiwanja chako uliktangaza miezi 14 iliyopita; sasa na chenyewe kishapanda thamani au bado ile ile ya Nov 2019?Available
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us