PLO Lumumba: Wazungu wanaichukulia Afrika kama Zoo. Hawajali utu wa watu wa Afrika

Kajaliwa kipaji cha kuongea kama Waafrika wengine, ila hakana lolote. kanafiki tu
Pole Sana! Nilifikiri ungejivunia kuwa Prof Lumumba ni mkenya!! Ni bahati mbaya kuwa wakenya wengi hawajui kuwa huyu ni hazina na zawadi kubwa Sana si kwa kenya tu Bali kwa Afrika yote!! Kwa bahati mbaya Sana watu waadilifu na wazalendo kama Lumumba hawana nafasi kwenye Taifa lenye mwelekeo wa kibepari kama kenya. Natamani angekuwa kwetu tungempa nafasi iliyo wazi kwa sasa!
 
sijawai kuona watu wanaopenda afrika kama, JPM(R.I.P), PLO LUMUMBA, NA JULIAS MULEMA This 3 gentlemen are real africans.
Umesema kweli!! Lumumba angepewa nafasi kwa muda mfupi angefanya makubwa huko kenya!! Huyo ni jembe kama JPM. Kwa bahati mbaya Sana wakenya hawaoni thamani yake!
 
Mkuu kumbuka kuna external factors zinazotuzuia tusiendelee
Hizo external factors mnaziendekeza wenyewe!! Alichokifanya JPM Tanzania ni ushahidi kuwa kinachokoseka Afrika ni viongozi wanaojiamini na wasio waoga! Afrika ni tajiri!! Ni bahati mbaya Sana JPM ametutoka mapema!! Lakini angekaa hiyo miaka 10, Dunia ungeshangaa Sana!!
 
Back
Top Bottom