PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Siabudu mtu mimi...naongea ukweli..refer picha na videos za msiba wa magufuli kuanzia Mwanza, Geita mpaka chato..unafikiri wale ni nani zaidi ya wapiga kura? Binafsi kuna sera za magufuli nilikuwa nazipiga ila ukweli ni kwamba nimeumizwa na msiba wake...na hawa wapuuzi wanaoendelea kutaka kumshambulia wakati amezikwa na hawezi kuwajibu watazidi kupoteza sana kisiasa..watu wanaona kwa kiasi gani hawana busara..refer maneno ya Lumumba sio yangu na najua anasema.ukweli.
Uliona akizikwa mpaka useme amezikwa!!??
 
Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia.

Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema amefika Chato na kulikuta ni eneo la kimaskini kabisa kadhalika ameshapita Dar es Salaam na Mwanza hivyo Tundu Lissu hawezi kumdanganya chochote.

Prof Lumumba amesema Tundu Lissu ambaye ni mwanasheria mwenzie apunguze hasira anapomzungumzia Hayati Magufuli vinginevyo atapoteza ushawishi na heshima aliyonayo.

Chanzo: VOA

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani Lumumba ni nani? Mbona umaarufu wake huko kwao Kenya umeshuka? Asituchoshe !

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?

Kuishi Tanzania hakumaanishi unaijua Tanzania kuliko ambao hawaishi Tanzania. Obviously, the guy is more informed about Tanzania than most Tanzanians.

Inawezekana kabisa majority ya wafuasi wa Lissu kwenye hili jukwaa hawajakanyaga sehemu za Tanzania ambazo Prof. PLO Lumumba amezitembelea, including Chato; badala yake brains zao zinalishwa na kumeza all and any nonsensical claims made by Lissu, a politically bankrupt man!
 
The guy is more informed about Tanzania than most Tanzanians. Kuishi Tanzania hakumaanishi unaijua Tanzania kuliko ambao hawaishi Tanzania.

Inawezekana kabisa majority ya wafuasi wa Lissu kwenye hili jukwaa hawajakanyaga sehemu za Tanzania ambazo Prof. PLO Lumumba amezitembelea, including Chato; badala yake brains zao zinalishwa na kumeza all and any nonsensical claims made by Lissu, a politically bankrupt man!
PLO Lumumba mm ni follower wake wa muda mrefu ktk page zake. Na spana huwa nampiga hukohuko. Huenda ww umemskiliza jana. Pia nimeishi Kenya toka 2018 hadi sasa. Namjua mzr. Toka 2016 alipoteza direction ya Foundation na misimamo yake baada ya mualiko wa JPM Ikulu na Chato. Hata Uchaguzi wa2020 ali sema ulikuwa huru na wa haki "kama siyo uchizi ni nn?"Jumuiya zote za Kimataifa zilisema ni Uchaguzi wa hovyo. Na kila mtanzania"mwenye akili" anafahamu hilo.

Kutembea USA, UK, SPAIN, nk, siku 3 au 4 hakukufanyi ww kufahamu matendo ya Rais wa nchi husika huenda Majengo na barabara tu. Elimu yake ya Sheria hamfanyi kuelewa utendaji wa Tz ilihadia MEDIA zote hazikuwa huru chini ya JPM. Anapo safiri hakutani na raia wa Kawaida. Uta kutana na wenyeji wako kama MATAGA ww walioandaliwa kwa ajili ya kuimba Pambio.

By the way, niki toa Hayati JK. Nyerere CCM haina kichwa chenye Uzalendo na maono kama T. Lissu ni vile tu yupo Opposition. Amebadilisha Mawaziri wa Katiba na Sheria kibao. Tafakari sn risasi zake 38. Why?

Matendo ya JPM tunayajua sisi wakazi na raia wa Tz. Huyo Lumumba akomae na BBI, Ugomvi wa Madaraka (Uhuru vs DP Ruto) na Rushwa iliyo kithiri Kenya.Tz benchmark ya Rais yoyote ni J.K. Nyerere.
 
wahenga walisema kila mwamba ngoma huvutia kwake na ndicho alichofanya Prof Lumumba huyo ni teja kwa mwendazake hasikii haoni kila hoja ya ubaya wa mwendazake huitwist vizuri na mark up.
Ni kichaa yule halafu Mambo ya Tanzania aache kujifanya anayajua sana stupid.
 
Sema kiukwel tundu lissu credibility yake inashuka maana naona kazidi kuongea ongea Sana yani mi naona anajishusha ushawishi sana
 
PLO Lumumba mm ni follower wake wa muda mrefu ktk page zake. Na spana huwa nampiga hukohuko. Huenda ww umemskiliza jana. Pia nimeishi Kenya toka 2018 hadi sasa. Namjua mzr. Toka 2016 alipoteza direction ya Foundation na misimamo yake baada ya mualiko wa JPM Ikulu na Chato. Hata Uchaguzi wa2020 ali sema ulikuwa huru na wa haki "kama siyo uchizi ni nn?"Jumuiya zote za Kimataifa zilisema ni Uchaguzi wa hovyo. Na kila mtanzania"mwenye akili" anafahamu hilo.

Kutembea USA, UK, SPAIN, nk, siku 3 au 4 hakukufanyi ww kufahamu matendo ya Rais wa nchi husika huenda Majengo na barabara tu. Elimu yake ya Sheria hamfanyi kuelewa utendaji wa Tz ilihadia MEDIA zote hazikuwa huru chini ya JPM. Anapo safiri hakutani na raia wa Kawaida. Uta kutana na wenyeji wako kama MATAGA ww walioandaliwa kwa ajili ya kuimba Pambio.

By the way, niki toa Hayati JK. Nyerere CCM haina kichwa chenye Uzalendo na maono kama T. Lissu ni vile tu yupo Opposition. Amebadilisha Mawaziri wa Katiba na Sheria kibao. Tafakari sn risasi zake 38. Why?

Matendo ya JPM tunayajua sisi wakazi na raia wa Tz. Huyo Lumumba akomae na BBI, Ugomvi wa Madaraka (Uhuru vs DP Ruto) na Rushwa iliyo kithiri Kenya.Tz benchmark ya Rais yoyote ni J.K. Nyerere.

Shida yenu wafuasi wa Lissu (ambao ni sehemu ndogo ya takribani 60 million Tanzanians) huwa mnataka kulazimisha mtazamo wenu kuwa mtazamo wa Watanzania. You can’t impose your wish on other Tanzanians. Kelele nyingi za minority haziwezi kuwabadili minority kuwa majority!

Mnapenda pia kutoa sweeping statements. Unasema kwamba jumuiya yote za kimataifa zilisema ni uchaguzi wa hovyo. Labda una definition yako mwenyewe ya jumuiya za kimataifa. Tuambie, ni lini SADC, AU, EAC walitoa kauli kama hiyo? Kati ya mabeberu na hizi jumuiya zetu za Africa, ni nani ana maslahi na dhamira ya dhati na taifa la Tanzania?
 
Maneno mengi ujinga mtupu
 
Mbowe anauelewa mpana sana, alimkataa Lissu kama candidate wa CHADEMA 2020 chaguo lake lilikuwa Lazaro Nyarandu wafia chama hawakumuelewa.
 
Kama Mungu ana nguvu na mliomba akasikia kwa nini mungu Yule yule Magufuli akiwaambia muombe na ametukinga kwa corona mnakataa? au sio nyie mnaodai tutumie njia za kiscience? au mungu yuko kwenye tu kwa wenngine hayuko?

Kwenye matibabu tunaamini sayansi,ila ibilisi ndio alikuwa analazimisha tuamini ushirikina na maombi, wakati tulikuwa tunajua fika anamjaribu Mungu maana hakuwa mcha Mungu. hatimaye Mungu kaonyesha hajaribiwi na watu waouvu, na saa hii yuko motoni akiungua kwa nguvu.
 
Nimekuuliza mlikuwa mnajua ni lini Magufuli ndio ilikuwa siku yake ya kufa kabla ya kumuombea afe? kwa sababu tunajua kila mtu lazima siku moja afe tu sasa nyie mnajuaje kwamba Magufuli kafa kwa sababu ya maombi yenu na si kwamba ilikuwa tu siku yake ya kufa kama ilivyo kwa wengine?

Nitajie hata dalili moja tu kuonesha kwamba kifo cha Magufuli ni matokeo ya hayo maombi yenu? Maana maombi mabaya ya kwa Magufuli na ccm kwa ujumla yalikuwepo toka 2015,sasa 2021 Magufuli kafa ndio mnahusisha na maombi?

Toka wakati wa kampeni zake za kishetani, alikuwa wiki moja barabarani, wiki 2 garage.
 
Mbowe anauelewa mpana sana, alimkataa Lissu kama candidate wa CHADEMA 2020 chaguo lake lilikuwa Lazaro Nyarandu wafia chama hawakumuelewa.

Na sisi tulimtaka Lisu. Huyo Mbowe akale kwanza za lile zee tapeli la kisiasa alituletea 2015. Na angekosea atuletee huyu tapeli mwingine toka ccm badala ya Lisu, angefurahi.
 
Back
Top Bottom