PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

PLO ni Mzushi tu ,anajua accounts zote za JIWE? Kwani Chato Airtport haipo? Burigi Park? Shamba Pori la Santos halipo?
Ww hizo Acounts zote unazijua!!???
hizo zote ulizotaja hapo ni mali za wananchi sio za Magufuli......
au kwa akili yako fupi ulijua ni mali binafsi za Magufuli?
 
Lumumba nae kilaza tu. Magufuli amekaa muda mfupi madarakani,Mobutu alikaa madarakani miaka 20+.Yaani Magufuli ni Mobutu aliekaa muda mfupi madarakani. Magufuli angekaa muda mrefu basi angempita utajiri Mobutu.
 
Apoteze mara ngapi? Hana hata akili ya kujua anamshambulia anatoka kanda yenye nguvu sana kisiasa..ina wapiga kura wengi sana. Hata kama kuna watu walikuwa wanam support huko wamepoteza kiongozi wao yeye ni kumshambulia..Subiri arudi huko tena ndio atajua ushawishi wake umeshuka kiasi gani.
Huo ukabila wenu ndio maana hata Nyerere aliwakataa msipewe madaraka makubwa nchi hii.

Huyo Jiwe anafahamika kumilili mahoteli huko kwao hivyo msimtetee.
 
Ina màana Dodoma ni chato napo? Kunakojengwa bwawa la umeme ni chato? Ina maana kama chatO kulihitaji maboresho ya huduma asingepeleka sababu kuna watu mtatumia hilo kama mtaji wa kisiasa kumchafua. Chademans are silly bastards

Hapana mkuu ,miradi mingi ya meko aliyoinjenga ni kwa ajili ya upigaji na ndio maana alikuwa anatudanganya tunatumia fedha zetu za ndani kumbe alikuwa anakopa.......

Dodoma si chato ila ujenzi wa dodoma ni kwa ajili ya kupiga mpunga kupitia ujenzi wa majengo ya kule,kama miradi ya meko yote ikikaguliwa utakuja kuona wizi uliopo ndani yake.

Mkuu sio kila sehemu unaweza kujenga bwawa la umeme au HEP lazima kuwe na factors zinazokidhi vigezo vya kuzalisha umeme ,ingekuwa unajenga sehemu yeyote basi wangejenga chato ilo nina uhakika.

Chato hawajafanya maboresho bali upendeleo wa waziwazi na kama ulimsikia Dr kimei wakati anazindua Bank Kubwa ya CRDB alisema walijenga kule bank baada ya Kushauriwa na JIWE ina maana CRDB Bank walijenga kwa mashinikizo ya JIWE.

Sio kila mtu anayekosoa serikali ni chadema au anayeisifia serikali ni CCM.
 
Huyo mkenya Yuko obsessed na magufuli kiasi kwamba akiambiwa magufuli ameweka hifadhi ya wanyama, uwanja wa ndege, uwanja wa mpira, taa za barabarani kijijini na kujenga ikulu huko hawezi kuelewa chochote zaidi ya kutupia mijineno ya uongo ya kiingereza Cha wachawi anachobumba. Mpuuzi kabisa. Atuache
Ila ww nawe akili fupi hayo ni maendeleo ya kawaida sana....
na yanakubalika katika kuleta maendeleo ya kijamii
 
Siabudu mtu mimi...naongea ukweli..refer picha na videos za msiba wa magufuli kuanzia Mwanza, Geita mpaka chato..unafikiri wale ni nani zaidi ya wapiga kura? Binafsi kuna sera za magufuli nilikuwa nazipiga ila ukweli ni kwamba nimeumizwa na msiba wake...na hawa wapuuzi wanaoendelea kutaka kumshambulia wakati amezikwa na hawezi kuwajibu watazidi kupoteza sana kisiasa..watu wanaona kwa kiasi gani hawana busara..refer maneno ya Lumumba sio yangu na najua anasema.ukweli.
Aliyempiga Lissu risasi ni nani vipi akina Saana8 wapo wapi.Msijifanye hamnazo vaeni viatu vya wazazi wa Akwilina na Ben.
Akalale alipojiandalia mwenyewe.Lissu is correct.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
kumsikiliza lissu ni kukosa kazi ya kufanya mtu anayetembelea huruma ya kupigwa risasi? amebaki kuropoka tuu kama malaya fulani aliyezurumiwa hela baada ya kukeshea miti mingi usiku
 
Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Unajaribu kutumia maneno ya prof. Lumumba kama kichaka cha kuficha upendeleo aliufanya mh. Magufuli kwa eneo lake la chato. Upendeleo huu ni dhahiri na kamwe hautafichwa kwa maneno ya Lumumba. Yeye hawezi kuijua Tz kuliko Lissu. Lissu anaongea kwa ulinganisho wa chato ya leo, chato ya 2015, maeneo mengine ya nchi hii na mahitaji yake, na vipaumbele ktk nchi hii. Lumumba akisema anaijua chato na amefika ni sawa, lakini anailinganisha na Nairobi. Hata akisema Lissu ana chukuki na Magufuli yawezekana kweli chuki hiyo ipo. Lumumba angeweza kuvaa viatu vya Lissu akapitia mateso aliyopitia Lissu wakati Magufuli akiwa kiongozi mkuu wa nchi hii, hata yeye angeliweza kuwa na chuki tuu.
 
Kuna tetesi kwamba jiwe na Kagame walikuwa hawaongei kisa ni kwamba madini mbali mbali ambayo jiwe lilikwapua nchini na kuomba Kagame amhifadhie Kagame machale yakamcheza kwamba ni madini ya wizi hivyo akaamua kumtia ndani jiwe ndiyo chanzo cha hao wawili kuwa maadui wakubwa.

Huyu alikuwa mwizi na ukute mali nyingine zimefichwa nchi jirani kwa Warundi.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Inawezekana tatizo ni lugha, vinginevyo hakuna ubishi kwamba JPM alikuwa anajilimbikizia mali, na kadri muda unavyokwenda itajulikana zaidi nini kilifanywa. Lumumba hakuwahi kuchunguza maisha ya JPM, wala hakuwa na sababu ya kufanya hivyo!
 
Mkuu hujawahi kumiminiwa SMG magazine nzima!! Sio rahisi kama tunavyofikiria kusahau. Kwake yeye kuongea ya moyoni mwake inampa relief ya lile tukio maana polisi wameshindwa play their part. Kma wahusika wangenyongwa Lissu moyo ungetulia na hasira zingeisha.
Ni kweli inaumiza na hakuna mtu anaweza kuvaa viatu vya Lisu kwenye ishu ya risasi nafikiri ile ili muathiri kwenye siakolojia na inaweza isiondokea kabisa!

Lakini hii ya kila akihojiwa kuhusu Magufuli anatoa hoja kutokana na memory za kupigwa risasi anajishushia hadhi.

Na kwa akili hii ya Lisu ya sasa hivi na hasira zile hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji maana ataumiza sana watu.

Ili Lisu akae vizuri kisaikolojia na awe na mind ya kiuongozi na zile hasira ziishe, inabidi awekewe kundi la wasiojulikana mbele yake kisha apewe SMG awamiminie risasi kama kulipa kisasi.

Vinginevyo sioni akipona kisaikolijia.
 
Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia....
Huyo ni mchumia tumbo kama ccm walivyo hiyo chato aliyoenda labda ni chato ya katavi,sio hii ya magufuli. Kwahiyo kwa akili yake nusu huo uwanja wa ndege,jengo la TRA,jengo la crdb,hosp kubwa yalijengewa maskini wa chato wawe wanaviangalia ili kupata faraja ya moyo...nasema prof lumumba atakua na PHD kama ya marehemu meko yani feki
 
Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Magufuli alikuwa na chuki binafsi,japo alishindwa kukamilisha mipango yake miovu kwa Lissu.
 
Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Nimekuelewa, kumbe ukipigwa risasi unageuka kuwa muongo.
Basi Tundu Lisu hafai hata kuwa mlinzi wa duka maana akili yake imehalibika kwa risasi
Washabiki wake ipo siku mtafanywa kma ya kibwetere.
 
Amesoma hapo UDSM bwashee!
Wewe ni muongo sana humu JF. Kama jambo hulijui ni heri ubaki kimya

Patrick Loch Otieno Lumumba (born 17 July 1962) is a Kenyan who served as the Director of the Kenya Anti-Corruption Commission from September 2010 to August 2011.[2] Since 2014, Lumumba has been the Director of The Kenya School of Law.[3] An eloquent lawyer, Lumumba earned his LL.B and LL.M degrees at the University of Nairobi. His LL.M thesis is titled National Security And Fundamental Rights. Additionally, Lumumba holds a PhD in Laws of the Sea from the University of Ghent in Belgium. Lumumba is a staunch Pan-Africanist and has delivered several powerful speeches alluding to or about African solutions to African problems.
 
Back
Top Bottom