Please usicheke. Amepigiwa simu anahitajika kwenda ofisi ya RC Paul Makonda

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
IT'S TIME FOR JOKES AND LAUGHTER

NAMBA MPYA: Hallo tunaongea na Iddy bakari?

MIMI: Ndio mimi Iddy bakari.

NAMBA MPYA :Unachezaga tatu mzuka?

MIMI:Sana kaka nacheza mpaka 60,000 kwa siku na nilijua ntakuja kushinda tu siku moja, nimeshinda shilingi ngapi kaka?

NAMBA NPYA: Ok,kumbe unaweza kucheza mpaka 60000 kwa siku lakini huwezi kutoa matunzo kwa mtoto wako...... Tunaomba uje kwa mkuu wa mkoa Dar es salaam kesho saa nne asubuhi.....

*Hapo ndio utajua kama Mtwara kuna Bahari lakini Wamakonde si watu wa Pwani***‍♂‍♂‍♂
 
Back
Top Bottom