Inaonekana kila ukikanyaga tunafungwa sasa uamuzi ni wako kama unataka tushinde au !
Kumbukumbu za karibuni
Tulifungwa mechi muhimu na msumbiji-Ulikuwepo, na Morocco ambako ulipiga kampeni na bila kusahau mechi ya ufunguzi!
Waungwana hamumtaki rais wenu uwanjani kazi kweli kweli.