Please Mr President usiende uwanja wa taifa (fainali) tunataka kushinda

Shalom

JF-Expert Member
Jun 17, 2007
1,315
124
Inaonekana kila ukikanyaga tunafungwa sasa uamuzi ni wako kama unataka tushinde au !

Kumbukumbu za karibuni

Tulifungwa mechi muhimu na msumbiji-Ulikuwepo, na Morocco ambako ulipiga kampeni na bila kusahau mechi ya ufunguzi!
 
hii mada ilibidi uiweke kwenye sports.lakini uliyoandika nayaunga mkono.halafu hawa wachezaji wa bara watafute jezi zao
 
Inaonekana kila ukikanyaga tunafungwa sasa uamuzi ni wako kama unataka tushinde au !

Kumbukumbu za karibuni

Tulifungwa mechi muhimu na msumbiji-Ulikuwepo, na Morocco ambako ulipiga kampeni na bila kusahau mechi ya ufunguzi!

Bwa ha ha ha ha ha ha umesema kweli hata mimi baada ya zile penalty nilianza kufikilia what will happen next match kama mchakachuaji akienda uwanjani?
 
Duh! hii ni ishara mbaya. Labda kwa vile wachezaji hawawezi ku walk out (kama wabunge wa CDM) kumwonyesha kuwa hawajarizishwa na alivyoingia madarakani wataamua wafungwe tuu. Please baba usiende uwanjani, tunataka raha ya ushindi sie!
 
Namwomba Mungu jumapili asiingie vinginevyo tusahau kombe, leo nilikuwa nacheki mechi na waganda kwenye dstv 209 na 204, kabla yq mechi niliwaambia kuwa kuna mambo mawili kwamba kama kikwete atakuwa uwanjani bais wameshinda , pili kama tutaingia matuta basi wameumia. And so was it!
 
Huyu jamaa kote ni gundu tu. Awamu hii akiingia uwanjani wachezaji tuwashauri wa walk out!
 
Mechi ya Burkina Faso tulioshinda 2-1 shamba la bibi alikuepo. Ila hata mi naunga mkono hoja HASIENDE kwani ANA GUNDU! Afu kwanini mzee BWM hajawahi kanyaga taifa? Aende aisee angalau akatoe nuksi. Nawakilisha.
 
Your words be revealed,we need a cup Uganda out,kill kidedea without mchakachuaji! Lets wait 4sunday.
 
Kwa historia toka mechi tulioshinda ya Burkinabe 2=1 akiwepo mpaka leo hatujawi shinda mechi yeyote akiwepo.
Chonde chonde jpili bora uuugue ghafla sio mbaya najua tukishinda utafufuka...lol!
 
Kama kweli unataka tushinde na kubakisha kombe,kesho endelea tu na shunguli zako nyingine,tunauheshimu mchango wako ktk soka la TZ,Umetuletea makocha wazuri,unawalipa makocha vizuri,timu inakaa kambi nzuri,hongera,LIMEBAKI MOJA TU,USIJE UWANJANI KESHO,ILI TUBAKISHE KOMBE.Huo utakua msaada mubwa saana.
 
Back
Top Bottom