Sura-ya-Kwanza
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 568
- 11
Please move this to maoni! RESIGN!
Sura-ya-Kwanza,
Hivi umekuwaje siku mbili tatu zilizopita?! Hao mods unawalipa wewe, mbona unataka kujifanya wewe ndiyo wewe na kila kitu unacho command kinatekelezeka katika muda upendao wewe?
Ulikuwa makini kipindi fulani hivi ukawa unatuletea na habari za 'kula breki' na nilizifurahia sana, mara ghafla, unaanza ku-flood JF kwa malalamiko mengi ambayo hata kama yana msingi, lakini kutokana na jinsi unavyo yatoa yanakuwa hayana maana tena bali bugudha. Please please, waheshimu Watanzania wenzako waliojitolea/chaguliwa kusimamia na kuhakikisha JF inabakia huru na yenye mawazo endelevu, na si uwanja wa fujo zisizo kichwa wala mkia. Calm down man!!
SteveD.
Sura-ya-Kwanza,
Sawa kama huoni kuwa yote uliyo post katika kipindi cha siku mbili hivi kuhusiana na mods haya-amount to - 'bugudha'. Ni maoni yangu tu na natumaini nimeeleweka.
Baadae ndugu.
SteveD.
nilisha kwambia zamani sana, hufai kuwa siriasi!! bakia vilevile, lakini wewe husikia....unaingia kusiko mjomba, mambo ya Joni Komba au Joel Bendera kuukwaa ubunge!!! ebo, wewe ni entateina na hata siku moja huwezi kuwa Mwanakijiji.........kama mods wamekuboa, basi wanunie, kama una hasira sana wa PM au quit kama Mchambuzi!! kelele zako hizi zitakuondolea mashabiki kule "kura bureki," kwani unaanza kuonekana kumbe wewe ni hitilafu kama sio mushkeli. LOL