Nisaidieni jamani jinsi ya kutoa lyke????? kwa wenzangu, Yani nimetoa lyke???? mbili tu na sijui nilifanyafanyaje
Nisaidieni jamani jinsi ya kutoa lyke kwa wenzangu, Yani nimetoa lyke mbili tu na sijui nilifanyafanyaje
Ndio Mkuu..!
Gusa hapo kwenye maneno itatokea kitu hiki. "reply Quote Mult Like Share More" gusa 'like'
kwa cm hatapata mimi pia niliwah kujaribu nikashindwa.
Alivyoelekeza Mtoto halali na hela ndiyo usahihi as if yo're Mobile user .
Btw amesahau tu kuwapa hints , kwamba Mob. User ukijichanganya huko Desktop Mb (bundle) inaliwa kama randa za mbao kisha uzimwagie petroli then uzitie kiberiti.
Asante sana tajaribuwakati umelog in, pale juu kuna neno touch lifungue. Version itabadilika na kuleta maneno mengine mengi, shuka chini hadi upate neno linalosomeka full site bonyeza hapo pia. Itabadilisha tena na kufungua version ya desktop, tafuta New posts then utakayoifurahia fungua na kuisoma. Mwishoni mwa hiyo post utakuta neno Like ukibonyeza ikimaliza conection tayari umesha like, samahani kwa mpangilio mbovu mimi sio mwalimu.
Alivyoelekeza Mtoto halali na hela ndiyo usahihi as if yo're Mobile user .
Btw amesahau tu kuwapa hints , kwamba Mob. User ukijichanganya huko Desktop Mb (bundle) inaliwa kama randa za mbao kisha uzimwagie petroli then uzitie kiberiti.
Asante sana tajaribu
Hebu jaribu , kisha ulete majibu !
Huo ndiyo wajibu! Unapotaraji kutibu!
Walianza Bibi na Babu !
Pindi yalipo wasibu !
Hawakua na aibu!
Kuuliza utaratibu!
Btw bila kwenda Desktop hata avatar za Members huwezi kuzijua .
Utakutana na vitu vingi , kama Notification , kutambua Member aliekula ban , kuelewa full statiscs details kuwahusu Jf's members .
Judgement natumia simu, ndio maana nikipata ka nafasi popote kama net ipo poa najimwaga humu. Asante kwa angalizo ulilompa la bundle, kama ni mvivu wa kununua aachane na hizo like.