please help

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,754
Nisaidieni jamani jinsi ya kutoa lyke kwa wenzangu, Yani nimetoa lyke mbili tu na sijui nilifanyafanyaje
 
duuuh!! afadhali maana nilishtuka
nilidhani umepiga cha arusha tena!!
ngoja waje wakupe darsa!!

Kutoa lyke au like..!
kutoa au kuweka?!

Au mimi ndo sijakuelewa
 
Nisaidieni jamani jinsi ya kutoa lyke kwa wenzangu, Yani nimetoa lyke mbili tu na sijui nilifanyafanyaje

Gusa hapo kwenye maneno itatokea kitu hiki. "reply Quote Mult Like Share More" gusa 'like'
 
Ndio Mkuu..!

wakati umelog in, pale juu kuna neno touch lifungue. Version itabadilika na kuleta maneno mengine mengi, shuka chini hadi upate neno linalosomeka full site bonyeza hapo pia. Itabadilisha tena na kufungua version ya desktop, tafuta New posts then utakayoifurahia fungua na kuisoma. Mwishoni mwa hiyo post utakuta neno Like ukibonyeza ikimaliza conection tayari umesha like, samahani kwa mpangilio mbovu mimi sio mwalimu.
 
Alivyoelekeza Mtoto halali na hela ndiyo usahihi as if yo're Mobile user .
Btw amesahau tu kuwapa hints , kwamba Mob. User ukijichanganya huko Desktop Mb (bundle) inaliwa kama randa za mbao kisha uzimwagie petroli then uzitie kiberiti.
 
Last edited by a moderator:

Judgement natumia simu, ndio maana nikipata ka nafasi popote kama net ipo poa najimwaga humu. Asante kwa angalizo ulilompa la bundle, kama ni mvivu wa kununua aachane na hizo like.
 
Last edited by a moderator:
wakati umelog in, pale juu kuna neno touch lifungue. Version itabadilika na kuleta maneno mengine mengi, shuka chini hadi upate neno linalosomeka full site bonyeza hapo pia. Itabadilisha tena na kufungua version ya desktop, tafuta New posts then utakayoifurahia fungua na kuisoma. Mwishoni mwa hiyo post utakuta neno Like ukibonyeza ikimaliza conection tayari umesha like, samahani kwa mpangilio mbovu mimi sio mwalimu.
Asante sana tajaribu
 
Asante sana tajaribu

Hebu jaribu , kisha ulete majibu !
Huo ndiyo wajibu! Unapotaraji kutibu!
Walianza Bibi na Babu !
Pindi yalipo wasibu !
Hawakua na aibu!
Kuuliza utaratibu!
Btw bila kwenda Desktop hata avatar za Members huwezi kuzijua .
Utakutana na vitu vingi , kama Notification , kutambua Member aliekula ban , kuelewa full statiscs details kuwahusu Jf's members .
 
Hahahaaaaa Mkuu Judgement kumbe kwenye kughani mashairi yenye tungo murua nawe umo!!

Asanteni kwa msaada at least nimeweza kutoa Like kadhaa japo kwa shida, spidi ni ndogo na process ni ndefu kidogo
 
Judgement natumia simu, ndio maana nikipata ka nafasi popote kama net ipo poa najimwaga humu. Asante kwa angalizo ulilompa la bundle, kama ni mvivu wa kununua aachane na hizo like.

Ndugu mtoto halali na hela nashukuru kwa msaada na mwongozo at least nimeweza kwa kiasi fulani
 
Back
Top Bottom