Please help me about Paypal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Please help me about Paypal

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Charles1990, Nov 15, 2010.

1. Charles1990

Charles1990 JF-Expert Member

#1
Nov 15, 2010
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 222
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Kama wiki moja iliyopita nilitembelea site ya paypal.Wakati wa ku register nilichoka kabisa.Kila nikiweka namba credit card ninaambiwa hiyo card haipo mara naambiwa hizo namba hazijakamilika.Nime hangaika sana mwishowe nikaona ni bora niwasiliane na benki yenyewe kabisa(Exim bank).Cha ajabu nimewatumia email hadi sasa wapo kimya.Nimeona bora niombe mawazo yako.
Kama kuna umewahi kufanikiwa kutumia paypal hapa TZ ulitumia credit card ya benki gani?Na hayo malipo yanayofanyika kwa paypal kwa hapa nyumbani yanawezekana?(manake benki hawashindwi kuniambia 'hatuna uwezo huo')
Please help me.

2. Crashwise

Crashwise JF-Expert Member

#2
Nov 15, 2010
Joined: Oct 23, 2007
Messages: 22,153
Likes Received: 844
Trophy Points: 280
kama una ya CRDB au Standard bank itakuwa ni rahisi zaidi hata hivyo lazima ukajaze fomu ya kukuruhusu kutumia online, exim bank wazushi tu

3. Charles1990

Charles1990 JF-Expert Member

#3
Nov 15, 2010
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 222
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Hivi nikienda kufungua akaunti huko CRDB watakaponipa hiyo credit card nikitaka hiyo fomu watanipa siku hiyohiyo?

4. m

mwanadaresalaam New Member

#4
Nov 15, 2010
Joined: Nov 10, 2010
Messages: 3
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mkuu hata credit card yenyewe huwezi kupewa siku hiyo hiyo inachukua siku 7-10,nafikiri unaweza kujaza fomu hizo pindi unapochukua card yako.

5. Amoeba

Amoeba JF-Expert Member

#5
Nov 15, 2010
Joined: Aug 20, 2009
Messages: 3,328
Likes Received: 81
Trophy Points: 0
CRDB wana huduma wanaiita online banking, lakini sidhani kama wana CREDIT CARD!!

6. Chifunanga

Chifunanga JF-Expert Member

#6
Nov 15, 2010
Joined: Oct 17, 2010
Messages: 291
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
CRDB wanayo credit card......VISA

Ukifungua account unaomba VISA card ambayo by default inatumika kwenye ATM na POS tu....ukitaka kutumia online, unajaza form....ambayo inachukua kama wiki hivi kuprocess......CRDB VISA inafanya kazi kwenye PayPal kama kawa.

7. Amoeba

Amoeba JF-Expert Member

#7
Nov 15, 2010
Joined: Aug 20, 2009
Messages: 3,328
Likes Received: 81
Trophy Points: 0
Mkuu, unaweza kufafanua kidogo hatua, esp baada ya mtu keshawezesha ac yake online! (mara nyingi crdb wanasumbua sana, na hata customer care wao wengi hawafahamu mambo ya online banking kwa undani).
Utakuwa umesaidia wengi

8. K

Kimwe Member

#8
Nov 15, 2010
Joined: Feb 26, 2009
Messages: 27
Likes Received: 0
Trophy Points: 3
Sio kirahisi kama unavyosema, utaweza ku link Visa Card yako na PayPal ila ngoma inakuja kwenye ku confirm maana PayPal wanakuchaji pesa kidogo halafu kuna code (four digits PayPal code) wanakuambia utaiona kwenye bank statement ili uweze kumalizia taratibu zao, ila huioni ng'o na hata ukitumia online banking statement.

Wenyewe CRDB ukiwauliza hupati msaada wa kueleweka, labda jaribu bank nyingine kama NBC, SCB na Barclays ambazo sijajaribu.

9. Charles1990

Charles1990 JF-Expert Member

#9
Nov 15, 2010
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 222
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Mkuu hiyo ya kukaa siku 7 hadi 10 naielewa.Kipindi nafuatilia kadi yangu Exim bank mbona nilikoma?Miezi miwili mizima!siku wananipa wananiambia eti mtu anayehusika kutoa password hayupo,nikazunguka tena mwezi na nusu.Huwezi amini siku wananipa password naambiwa nikae tena wiki moja ndo nianze kuitumia.we acha tu!
hapo CRDB ndio sijui nitatumia muda gani niweze kutumia kadi yangu online.

10. Charles1990

Charles1990 JF-Expert Member

#10
Nov 15, 2010
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 222
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Doh!asante mkuu,jamani kama kuna anayetumia kati ya barclays au CRDB na kashafanikiwa kuunganishwa online atujulishe kidogo tusiingie hovyo.

11. Charles1990

Charles1990 JF-Expert Member

#11
Nov 15, 2010
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 222
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Thank you for the 'heads up'

12. M

Mtu Mmoja JF-Expert Member

#12
Nov 15, 2010
Joined: Mar 18, 2010
Messages: 596
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
mabenki yetu na miyeyusho tu, mi nilijisajili crdb online banking, lakini niliishia kukatwa hela tu sikuwahi kufanya transaction yoyote hadi nilipoamua kujitoa napo bado hawajajibu naenda mwezi wa pili sasa. nilichoambulia ni siku moja niliona balance yangu tu, basi! siku nyingine niki-request naambiwa pasword haitambuliki na wal mie sijawahi kubadili wala kusahau pasword yangu! kuna kipindi waliniomba radhi kwa usumbufu na wakaahidi kuwa hautajirudia tena na kuwa umeisha kabisa, wapi bwana hadi leo madudu ni yaleyale hadi nilipoamua kujitoa kabisa kwenye huduma ile,

13. Charles1990

Charles1990 JF-Expert Member

#13
Nov 16, 2010
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 222
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Dah!pole sana,sasa ulivyojitoa ulihamia kwenye bank ipi?au ndio umeachana na mambo ya online banking?

14. Watu

Watu JF-Expert Member

#14
Nov 16, 2010
Joined: May 12, 2008
Messages: 3,004
Likes Received: 379
Trophy Points: 180

I use EXIM mastercard and CRDB VISA Electron on paypal with no problem

It' true getting the crdb visa electron card to be verified is a bit tricky as most of our. Service companies in tz have poor xustomer service or non

At the back of your crdb visa electron card you will find tel # for card service

Call and ask for one Mr Ngallo. He will read you the verifications codes promptly

15. Watu

Watu JF-Expert Member

#15
Nov 16, 2010
Joined: May 12, 2008
Messages: 3,004
Likes Received: 379
Trophy Points: 180

The problem occurs when you don't have credit on your card top up your card and you should be fine

Exim card service wako 6th floor kitega uchumi go there watakwambia kama una funds za kutosha au la

16. Charles1990

Charles1990 JF-Expert Member

#16
Nov 16, 2010
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 222
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Mbona hawa exim wana mambo ya kibabe?Mimi akaunti yangu ina kiasi cha kutosha kabisa.Tatizo ni zile namba nikiziweka pale ndio shughuli!HAZIKUBALI!!!Mi nipo Moshi,hapa hapa wataweza kunisaidia kweli?!

17. Charles1990

Charles1990 JF-Expert Member

#17
Nov 16, 2010
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 222
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Mbona mi ya kwangu inakataa?Au inahitajika uwe mteja kwa kipindi fulani ndo uwezeshwe?

18. Watu

Watu JF-Expert Member

#18
Nov 16, 2010
Joined: May 12, 2008
Messages: 3,004
Likes Received: 379
Trophy Points: 180

Exim wana problem kwenye billing, kama ulishatumia hiyo card yako

Yawezekana top up zako hazijafika card centre
Talk with card centre people branch hawajui lolote

19. Charles1990

Charles1990 JF-Expert Member

#19
Nov 16, 2010
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 222
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Oi!hold it there for one sec.Hawa card center people ndo wakina nani na nitawapataje?

Loading...