Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,372
Wadau, amani iwe kwenu.
Ni dhahiri sasa Freeman Mbowe amenaswa. Anahitaji msaada na huruma kutoka kwa Watanzania. Anadai eti hadi Desemba 2017, watanzania watashindwa kununua hata dawa ya mswaki.
Binafsi namcheka sana huyu jamaa. Kinachomfanya aongee kwa jazba si matatizo ya Watanzania bali ni kutokana na anguko kubwa lililompata pamoja na watu waliomzunguka akiwemo Edward Lowasa. Hawa kwa sasa hali yao ni dhoofu bin ali. Hawana tena pa kupiga. Deal zote zimegoma na Magufuli kawatight kila kona. Hataki kuwaachia wapumue hata kwa sekunde moja.
Ule mwezi wa saba wa wanaume kubaki mijini umetoa jibu. Wanaume wanaendelea kukomaa ila wale wenzangu na mie waliotaraji mteremko wanalia na kusaga meno.
Jawabu la matatizo yote haya ni moja tu. Kuwa mwadilifu na kufanya kazi kwa bidii. Tatizo watu kama Mbowe walizoea kuishi kwa kuiba. Hata foundation ya biashara yake haijui. Ndo maana kaminywa kidogo tu analia ili Watanzania tumsaidie.
Magufuli endelea kushikilia hapo hapo. Wameshaanza kuweweseka.