Playstation 2 zinauzwa slim na kubwa

Miunda

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
530
180
Kuna playstation 2 zinauzwa zipo tatu kwa sasa bei laki 150 mazungumzo pia contact mi 0655706975 nipo zanzibar, kama dar nakuletea this weekend. Halla
 
Pia kama unahitaji power tools kama hizo ni new kabisa tuwasiliane, ila naangiza nje kwa order, ni sander hio na planer.
Sander 135w
Planer ni 650w
Planer ni landa kwa kiswahili huku kwetu tunaita.
 

Attachments

  • 1418368178705.jpg
    1418368178705.jpg
    25 KB · Views: 125
  • 1418368189575.jpg
    1418368189575.jpg
    28.6 KB · Views: 120
Kuna playstation 2 zinauzwa zipo tatu kwa sasa bei laki 150 mazungumzo pia contact mi 0655706975 nipo zanzibar, kama dar nakuletea this weekend. Halla

Kaka unaweza kunifanyia mpango wa Computer Zion nasikia huko bei zina unafuu kidogo.

Na hizo PS unauza Full? zipo chiped ?
 
Haya mupo, zipo playstation 2 zinafanya kazi Powa.
Zipo playstation 3 untested.
Computer 💻
Monitor kabila Sony
Unahitaji wasiliana na mimi, sitaki date, biashara tu.

0655706975
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom