Playlist updated

Status
Not open for further replies.

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,414
Hello JF Members,

Natumaini mpo mnaoitembelea www.JamboNetwork.com ambayo kwa namna moja ama nyingine imeikopesha JF playlist ya nyimbo zake (zilipendwa na bongoflava).

Kwa sasa tume-update playlist yetu ya Bongoflava na tunatarajia kuongeza Nyimbo za dini kadiri tunavyoletewa na taarabu kama ilivyoombwa na wasikilizaji.

Tunasikitika kuwa hatuuzi nyimbo hizi na wala haziwezi kuwa downloaded kwa namna yoyote, kwa wenye kupenda nyimbo hizo kwenye playlist tunawashauri kutuma nakala zao madukani (kama hawapo Tanzania) na wale walio Tanzania kuzinunua madukani kuwainua wasanii wetu.

Nyimbo zilizoongezwa ni kama hizi chini (you can click and listen)...

Awena - Kassim

Usiende Mbali Nami - Juliana ft. Bushoke

Nzela - The B Band

Kidato Kimoja - J.I ft. Lil Geto

She Performs - Ngwair ft. TID

Mapenzi Sio Pesa - Saida Karoli

Hao - Mwasiti Ft. CHidi Benz

n.k

Ahsanteni kwa ushirikiano wenu na tuendelee kuwasapoti wasanii wetu. Kwa wanaohitaji kuwaalika wasanii wanaweza kuwasiliana nami nikawaunganisha nao ili waweze kupata ziara zaidi za nje ya nchi kwani naamini wanaweza kujifunza zaidi na mkaweza kuwapa mbinu zaidi za kufaidika na wafanyalo.

Mac
 
Tunaomba kama ikiwezekana vilevile u update Zilipendwa kwa nyimbo za Marijani Rajabu, Afro 70, Msondo, Marquis etc.

Natanguliza shukrani.
 
asanteni kwa hizo nyimbo za dini,
pia nilirequest wimbo wa mwana fa wa bado nimo nimo kwanza naona umeweka...senx alot jf
ila huo wimbo hao wa mwansiti na chidi benz haupo kwenye list mkiweza upata na ule wa nasubiri ageuke ntashukuru
 
ntashukuru kweli kama kwa hisani yenu, mtaniongezea wimbo wa Sumu ya Teja toka kwa Vitalis Maembe Blaza... Pia na Mpoto ile Salamu Zangu.

Ahsante tena Blaza.
 
Samahani huu wimbo sikuona kama uliuomba, nitautafuta na kuuongeza.

Sasa hivi ndio tuna-update list ya Bongo Flava. Unaweza kutembelea Bongo Flava ukaona mpya za sasa.
 
Maxence, thanks for the updates. Is it possible for the 'Zilipendwa' play list to be updated as well? Especially with songs from legends like Oliver Ngoma (always listening him when I'm in the forum) and the likes.
 
Hello JF Members,

Natumaini mpo mnaoitembelea www.JamboNetwork.com ambayo kwa namna moja ama nyingine imeikopesha JF playlist ya nyimbo zake (zilipendwa na bongoflava).

Kwa sasa tume-update playlist yetu ya Bongoflava na tunatarajia kuongeza Nyimbo za dini kadiri tunavyoletewa na taarabu kama ilivyoombwa na wasikilizaji.

Tunasikitika kuwa hatuuzi nyimbo hizi na wala haziwezi kuwa downloaded kwa namna yoyote, kwa wenye kupenda nyimbo hizo kwenye playlist tunawashauri kutuma nakala zao madukani (kama hawapo Tanzania) na wale walio Tanzania kuzinunua madukani kuwainua wasanii wetu.

Nyimbo zilizoongezwa ni kama hizi chini (you can click and listen)...

Awena - Kassim

Usiende Mbali Nami - Juliana ft. Bushoke

Nzela - The B Band

Kidato Kimoja - J.I ft. Lil Geto

She Performs - Ngwair ft. TID

Mapenzi Sio Pesa - Saida Karoli

Hao - Mwasiti Ft. CHidi Benz

n.k

Ahsanteni kwa ushirikiano wenu na tuendelee kuwasapoti wasanii wetu. Kwa wanaohitaji kuwaalika wasanii wanaweza kuwasiliana nami nikawaunganisha nao ili waweze kupata ziara zaidi za nje ya nchi kwani naamini wanaweza kujifunza zaidi na mkaweza kuwapa mbinu zaidi za kufaidika na wafanyalo.

Mac
Mkuu thanks ila nyimbo zote ulizoweka mpya...hazichezi mpaka mwisho sijui ni kwa ajiri ya sie kwenda kununua so unatupa uhondo...?Ua u net yangu ina wala wala...kwani wimbo wa mwisho kuplay wote ni wa dogo mfaume...(kazi ya dukani...zingine zote up hazichezi mpaka mwisho...

Can angalia this and see is tatizo?
Buswelu
 
Tested,

Working properly...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom