- Feb 10, 2006
- 4,322
- 13,947
Hello JF Members,
Natumaini mpo mnaoitembelea www.JamboNetwork.com ambayo kwa namna moja ama nyingine imeikopesha JF playlist ya nyimbo zake (zilipendwa na bongoflava).
Kwa sasa tume-update playlist yetu ya Bongoflava na tunatarajia kuongeza Nyimbo za dini kadiri tunavyoletewa na taarabu kama ilivyoombwa na wasikilizaji.
Tunasikitika kuwa hatuuzi nyimbo hizi na wala haziwezi kuwa downloaded kwa namna yoyote, kwa wenye kupenda nyimbo hizo kwenye playlist tunawashauri kutuma nakala zao madukani (kama hawapo Tanzania) na wale walio Tanzania kuzinunua madukani kuwainua wasanii wetu.
Nyimbo zilizoongezwa ni kama hizi chini (you can click and listen)...
Awena - Kassim
Usiende Mbali Nami - Juliana ft. Bushoke
Nzela - The B Band
Kidato Kimoja - J.I ft. Lil Geto
She Performs - Ngwair ft. TID
Mapenzi Sio Pesa - Saida Karoli
Hao - Mwasiti Ft. CHidi Benz
n.k
Ahsanteni kwa ushirikiano wenu na tuendelee kuwasapoti wasanii wetu. Kwa wanaohitaji kuwaalika wasanii wanaweza kuwasiliana nami nikawaunganisha nao ili waweze kupata ziara zaidi za nje ya nchi kwani naamini wanaweza kujifunza zaidi na mkaweza kuwapa mbinu zaidi za kufaidika na wafanyalo.
Mac