Play store imegoma

Black Lady

Member
Nov 16, 2013
65
8
habari wakuu nini tatizo play store imegoma kufunguka kwenye sumsung galaxy gt n 70000 mwanzo ilikua poa ila hai respond.
 
me nikitumia voda huwa napata hili tatizo, shida ni nini haswa mkuu?

hua wanaleta setting automatic hawa voda. halafu setting yenyewe ni ya wap (kwa ajili ya simu za zamaniii)

hii wap ina proxy hivyo ina maana hupati full capabilities za internet ndio maana playstore inagoma.

solution ni kuchange apn iwe internet
 
thanx in advance dear. apn ndo nn mpendwa

kusolve unatakiwa ufanye hivi

nenda menu ya simu yako click setting halafu wireless and network (kama kuna more click hapo)

then click mobile network halafu click access point name.

bonyeza button ya menu kama huijui angalia hii picha

android-button.jpg

ukishabonyeza hio button utaona neno new apn click hapo connection name andika chochote mfano black lady na apn andika internet

click back utaona active connection kwa mbele ina alama ya kijani hakikisha apn uliotengeneza ina alama ya kijani kwa mbele
 
Chief nimefuata procedures kama ulivyoelekeza imeniletea vodacom wap as a new apn. is that ok au nimekosea kaka
 
Last edited by a moderator:
kusolve unatakiwa ufanye hivi

nenda menu ya simu yako click setting halafu wireless and network (kama kuna more click hapo)

then click mobile network halafu click access point name.

bonyeza button ya menu kama huijui angalia hii picha

android-button.jpg

ukishabonyeza hio button utaona neno new apn click hapo connection name andika chochote mfano black lady na apn andika internet

click back utaona active connection kwa mbele ina alama ya kijani hakikisha apn uliotengeneza ina alama ya kijani kwa mbele

Simu yangu nikiweka line ya voda au tigo inasumbua kufungua baadhi ya apps...hasa google play...ngoja niijaribu hii!!
 
Back
Top Bottom