Black Lady
Member
- Nov 16, 2013
- 65
- 8
habari wakuu nini tatizo play store imegoma kufunguka kwenye sumsung galaxy gt n 70000 mwanzo ilikua poa ila hai respond.
unatumia voda?
me nikitumia voda huwa napata hili tatizo, shida ni nini haswa mkuu?
thanx in advance dear. apn ndo nn mpendwa
kusolve unatakiwa ufanye hivi
nenda menu ya simu yako click setting halafu wireless and network (kama kuna more click hapo)
then click mobile network halafu click access point name.
bonyeza button ya menu kama huijui angalia hii picha
ukishabonyeza hio button utaona neno new apn click hapo connection name andika chochote mfano black lady na apn andika internet
click back utaona active connection kwa mbele ina alama ya kijani hakikisha apn uliotengeneza ina alama ya kijani kwa mbele