Play Cool to get and not hard to get.........

""Ikiwa utahisi/ utajua kuwa mwenzio si mwaminifu: There is no need of panicking............just relax and swallow your bitter pill slowly with a smile...... no matter how bitter it is. Dont show him that you have panicked kwa sababu ukimwonyesha umepanick utampa kichwa na kumfanya aamini kuwa huna confidence.""

hicho kipande kimenigusa...kwa waliopitia kashikashi kama mie cku hizi hicho ni kitu cha kawaida kabisaa, tumewachia wanaoanza game...haaaa.

MJ1 hapo kwenye condom...napenda kusema "HAPANA/HAITAWEZEKANA"...yaani kuhalalisha kabisa?...kama anafanya an ajilinde! kumbuka umetokea huko MJ1, sio rahic kihivyo.
 
FL1 hujambo....
Hawezi kuwa mpumbavu hadi atumia kondom ulizomweka....believe me utazikuta ulivyozoweka...sihu ni ujumbe aupatao...

na wengine cc tukijaribu kufanya hivyo ndio itakula kwetu, japo cwez hata kwa mbali kufukiria kufanya hivyo, nitahojiwa mpaka kiamaa...."y umeniwekea/hivi unanionaje/ mie najiheshimu na naheshimu familia yangu bwana...etc" yaani matata matupu...wkend yako iliendaje?
 
FL1 hujambo....
Hawezi kuwa mpumbavu hadi atumia kondom ulizomweka....believe me utazikuta ulivyozoweka...sihu ni ujumbe aupatao...

Sijambo shikamoo St.RR or rr

swala ni kwamba najua hawezi kuzitumia zaidi atatumia mbinu mbadala kununua zingine na kuacha zile kama zilivyo.
Na moyoni atakuwa anajua hata wife anajua sisi wanaume hatuwezi kuvumilia ngoja ni play safe .
lakini swala zima ni kuwa waaminifu ..unaweza kumpa maneno matamu na ya upendo wakati anaondoka ..yale maneno yakaacha maandiko moyoni mwake badale ya kumuwekea ze condoms ..ila tuko tofauti
 
Cousin nashukuru sana kwa kurejea swali ambalo na mimi niliuliza kama wanaume tuko tayari kuhisi na kukaa kimya ingawa naona ni ishu ngumu, by the way vespa umeishazileta lol!!!
Hommie hebu msome mwanajamii hapa chini Jibu unapata
1. kwa wanawake walio na ndoa/ stable relationship- dont be a nagging woman
Tunaelewa kuwa (according to Babu Asprin) wanaume hawajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja (thats you) so expect the unexpected. Ikiwa utahisi/ utajua kuwa mwenzio si mwaminifu: T
Have a nice weekend
 
Sijambo shikamoo St.RR or rr

swala ni kwamba najua hawezi kuzitumia zaidi atatumia mbinu mbadala kununua zingine na kuacha zile kama zilivyo.
Na moyoni atakuwa anajua hata wife anajua sisi wanaume hatuwezi kuvumilia ngoja ni play safe .
lakini swala zima ni kuwa waaminifu ..unaweza kumpa maneno matamu na ya upendo wakati anaondoka ..yale maneno yakaacha maandiko moyoni mwake badale ya kumuwekea ze condoms ..ila tuko tofauti

Marhaba FL1....
Hebu ongelea wakati unapokua na hakika mali zako zinaliwa.....jinsi ya kumpa ujumbe kwamba unajua....na ndo anachozungumzia MJ1 (i hope)....
 
na ukute wala sio mtumiaji wa hayo makitu "zinamletea fungus/wengine zinawabana/allergy"...ili mradi watoe sababu...zitakaa kwenye huo mkoba miaka na wewe ukiziona unafarajika....haaa bora na sie wengine tusio na imani kabisa.
 
Marhaba FL1....
Hebu ongelea wakati unapokua na hakika mali zako zinaliwa.....jinsi ya kumpa ujumbe kwamba unajua....na ndo anachozungumzia MJ1 (i hope)....

ooh my god St RR kama una pendo la kweli moyoni kwa mwenza wako kuwa na uhakika mali yako inaibiwa ni tatizo ..
Ngoja kwanza hangover ipungue kichwani ..then hekima kama ya za Mfalme Suleiman zitafatia
 
na wengine cc tukijaribu kufanya hivyo ndio itakula kwetu, japo cwez hata kwa mbali kufukiria kufanya hivyo, nitahojiwa mpaka kiamaa...."y umeniwekea/hivi unanionaje/ mie najiheshimu na naheshimu familia yangu bwana...etc" yaani matata matupu...wkend yako iliendaje?

Unamrahisishia mambo...unamwekea sehemu ambayo 'sio rahisi kuonekana'.....:teeth:
 
OK OK!
kwa hiyo mwanajamiione unataka kucemaje sasa...............
maanake sielewi elewi na hizi bia za jamhuri secondary ndo kwanza hazijaisha

mnajadiligi nini eti wakuu?
 
OK OK!
kwa hiyo mwanajamiione unataka kucemaje sasa...............
maanake sielewi elewi na hizi bia za jamhuri secondary ndo kwanza hazijaisha

mnajadiligi nini eti wakuu?

Habari yako chalii....
 
Wapendwa ndugu, jamaa na marafiki......natumaini weekend kwenu ilikuwa njema kama kwangu. tumshukuru MUNGU kwa hili.

Wakati nikiwa nimekaa kwangu nikiimalizia weekend hii ya mwisho wa mwezi wa november, 2010 nimejikuta nawaza mahusiano na vituko vyake. Sijui kama ni sahihi but inaweza kusaidia kujenga mahusiano ya kudumu kwa yule umpendaye......... nawaza.
1. kwa wanawake walio na ndoa/ stable relationship- dont be a nagging woman
Tunaelewa kuwa (according to Babu Asprin) wanaume hawajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja (thats you) so expect the unexpected. Ikiwa utahisi/ utajua kuwa mwenzio si mwaminifu: There is no need of panicking............just relax and swallow your bitter pill slowly with a smile...... no matter how bitter it is. Dont show him that you have panicked kwa sababu ukimwonyesha umepanick utampa kichwa na kumfanya aamini kuwa huna confidence. Relax
Dont ask him a direct question- usimwulize unatoka na nani? why have you changed, ushatoka nje ya ndoa e.t.c. maswali ya hivi yanamfanya aamini kuwa unafanya GUESS work huna unalolijua hence giving him more chance na nguvu ya kuendelea na akifanyacho. ......it doesnt matter whether its true or not we mwonyeshe kuwa unajua anachokifanya (hata kama hafanyi kitu - which is not obvious- ni mtu wako akibadilika utajua tu) mwambie straight kuwa you know what he is doing all you need from him ni USALAMA- Atake care in what ever he is doing.....tena ikiwezekana jenga tabia ya kumkinga (mwekee condoms ndani ya briefcase kila akisafiri au kwenye mfuko wa shati kila akienda kazini asubuhi). The logic behind is
1. Kama anafanya, basi atabaki anajiuliza umejuaje and to what extent do you know.
2. Kama hafanyi basi atajua unamjali na uko makini.

ii. Love him more with all your heart but remember to take your brain with you.

THIS IS WHAT I BELIEVE WORKS FOR WOMEN ( NOT NECESSARILY SHOULD IT BE TRUE)
Sijui kwa wanaume..........should we, women be treated the same??
Have a nice weekend
MJ1 ni ushauri mzuri kweli my dear ila sasa namna yakuzuia hasira hapo ndo shuhuli inabidi uwe mvumilivu kwakweli, asilimia kubwa ya wanawake huwa si wavumilivu kwa jambo kama mume kuchepuka nje ya ndoa ila ukiweza kufanya hayo mbona jamaa atatulia mwenyewe bila hata kuambiwa.
 
Back
Top Bottom