Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

Kabisa, nywele za kwapa zenyewe hazijachanganya. Yaani mpaka sasa kwa miez sita natumia viwembe 2 tu.
Vizee mstubague lakini, tunahitaji busara zenu

Hapo red wakija wazee wa jf watakusaidia mie pia kijana mwenzio......ila umenizidi 6yrz tu!
 
huyo bibi kiroboto ni memba wa JF? seriously natafta kibibi kinilee maisha yamekuwa magumu kaka
klorokwini Mbona kumpata rahisi, nenda Dodoma pale mitaa ya uzunguni utamuona....wewe jifanye ni mtu mwenye busara sana na kwamba unaona mantiki ya wabunge kuongezewa posho....halafu jaribu kumpigia simu huku ukijifanya mtu unayejali maslahi ya viongozi wa bunge na taifa. Baadaye akiwa karibu yako mpige mtama uanze kazi....Kwao wana msemo "niangusage tu, sambi sako mwenyewe".........chezo limeisha.

Lakini ukifanikiwa unikumbuke katika ufalme wako
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom