Kuna inventor nataka kununua ambayo huwa inatumika kuwasha umeme wakati unapokatika, Sasa nimeambiwa kuwa inauwezo wa kuwasha Tv yoyote isipokuwa ya plasma kwa kuwa inakula sana umeme, Naomba wataalam wa JF watujuze juu ya hizi tv za plasma

halafu pia zina expire, upo hapo?
yes absolutely true that plasma consumes more electricity.the simple answer is tht,kila pixel kwenye plasma ina kuwa na bulb yake tofauti kwa ajili ya kuproduce colour,and hence image,while for lcd au led tv,kuna kuwa na central bulb ambayo inamulika hiyo screen and hence kupata image.kuna led n lcd za sasa zina kuwa na intelligent sensor,ambayo ina sense mwanga wa chumba na ku regulate electricity according to the liting of the room,and hence also saving electricity.if the room is well lit,thn less consumption of electricity.kuna reason mengi,lakin hiyo ya bulb difference is the major.