Plag moja haifungi kwenye cylinder head

dokolombwike

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
373
615
Wakuu msaada tafadhali,

Juzi nilikuwa nafanya service ya gari yangu. Baada ya kumwaga oili fundi akasema ngoja asafishe plag. Ile amerudishia akaniambia niwashe gari ikae silence kidogo.

Baada kama dakika moja ulisikika mlio mkubwa sana kwenye tundu moja la plug. Sasa kurudishia tena plug haifungi tena.

Sasa wakuu nini hiki na nitatumia njia gani plag ifunge vizuri?
 
Sounds like u in for hela ndefu kutengeneza hapo

Kosa ni la fundi hapo, hakuifunga sawa sawa na kuikaza aliiegesha tu kihuni sasa chuma ilivyowashwa presha ikaichomoa means hapo pengine trade zimekufa au tundu limeongezeka.
Pole sana ila usirudie kwenda kwa mafundi wasio makini
 
Kazi zote za plugs huwa nafanya mwenyewe....mafundi wa Tz wanachosha akili kabisa....
****.mafundi wengine niliona wamefungua plug za Noah wakazifunika na magazeti wakaziwasha moto kwa muda mrefu.....walipozirudishia gari likawa na miss za kutosha
 
Wakuu msaada tafadhali,

Juzi nilikuwa nafanya service ya gari yangu. Baada ya kumwaga oili fundi akasema ngoja asafishe plag. Ile amerudishia akaniambia niwashe gari ikae silence kidogo.

Baada kama dakika moja ulisikika mlio mkubwa sana kwenye tundu moja la plug. Sasa kurudishia tena plug haifungi tena.

Sasa wakuu nini hiki na nitatumia njia gani plag ifunge vizuri?
Hapo labda uende kwa wale wataalam wa kujaza sehemu zilizotanuka....kisha wachonge threads upya...japo itakuwa ni solution ya muda mfupi...

Suluhu ya kudumu ni kutafuta cylinder head nyingine..
Pole sana....
 
Dah. Pole sana kwa mtihani wa mafundi uchwara. Niliwahi kupata tatizo linafanana na hilo, ingawa langu gari ilikuwa haijawashwa bado lilipogundulika.

Nikajulishwa kijana yupo temeke akaja kutatuwa hilo tatizo kwa dakika 20 tu, mpaka leo miaka imepita halijajirudia.

Kabla ya kuja huyo kijana mafundi kama sita, kila anaekuja ananambia lazima "cylinder head" ishushwe ipelekwe engineering ikatengenezwe. Bahati akatokea mtu akanijulisha huyo kijana. Gharama zake siku hizo, sifahamu kwa sasa, ilikuwa 30,000 tu pamoja na nauli yake. Gari ilikuwa ni Pajero Jr.
 
Dah. Niliwahi kupata tatizo linafanana na hilo, ingawa langu gari ilikuwa haijawashwa.

Nikajulishwa kijana yupo temeke akaja kutatuwa hilo tatizo kwa dakika 20 tu, mpaka leo miaka imepita halijajirudia.

Kabla ya kuja huyo kijana mafundi kama sita, kila anaekuja ananambia lazima "cylinder head" ishushwe ipelekwe engineering ikatengenezwe. Bahati akatokea mtu akanijulisha huyo kijana. Gharama zake siku hizo, sifahamu kwa sasa, ilikuwa 30,000 tu pamoja na nauli yake. Gari ilikuwa ni Pajero Jr.
Na yule kijana ndio mimi
 
Hapo labda uende kwa wale wataalam wa kujaza sehemu zilizotanuka....kisha wachonge threads upya...japo itakuwa ni solution ya muda mfupi...

Suluhu ya kudumu ni kutafuta cylinder head nyingine..
Pole sana....
Sina uhakika na hilo lakini mimi nilitengenezewa ikatengemaa tena ni muda mrefu sasa.

Sifahamu alifanya nini yule fundi lakini alifanyia palepale kwangu na dakika chache tu. Tayari.
 
JF is never boring - The Boss.

Weka namba zako za simu nihakikishe. Usije ukawa ni tapeli tu.
Sija quote ili kujipa promo nipewe hiyo kazi inayomsumbua mdau, kwaiyo usiende mbali kuhisi nafanya njama za utapeli hapa.
 
Hata lugha yako inaonesha siyo huyo kijana. Sasa kwanini ulijidai ndio wewe?
 
Back
Top Bottom