Pius Msekwa: Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile

Tyetyetye

JF-Expert Member
Dec 3, 2014
1,026
780
Kutokana na Spika Mstaafu kueleza kuwa Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile.

Kwa vile bungeni kuna wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaoharibu pesa za wavuja jasho kwa kulindwa na mtu mmoja, napendekeza Spika ashitakiwe hata kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki.

msekwa.jpg
 
Rais Samia naye anaendeleza utapeli uleule halafu wabongo mazuzu wanashangilia eti anaiponya Nchi upumbavu mtupu.

wakati Kodi zao zinatafunwa na wahuni.

Nchi hii Ni ya kipumbavu Sana na hatutakuja tupate Rais wa Maana chini ya ccm.
 
Rais Samia naye anaendeleza utapeli uleule halafu wabongo mazuzu wanashangilia eti anaiponya Nchi upumbavu mtupu.

wakati Kodi zao zinatafunwa na wahuni.

Nchi hii Ni ya kipumbavu Sana na hatutakuja tupate Rais wa Maana chini ya ccm.
🤔🤔🤔🤔🤔😂😂😂😂
 
Spika huyu aliyesomea masuala ya uspika kaongea ukweli. Lkn yule kubwa la mazuzu sijui kama ataelewa hili somo.
Taarifa nilizonazo yule malaika wa kuzimu alitumia public fund kumuagizia huyu shetani mwenzake mashine ya dialysis ya kusafisha figo ipo nyumbani kwake wala haendi hospitali.

Kwahiyo ndio siri ya huyo tapeli kuwa kikaragosi cha malaika wa kuzimu chochote alichokuwa anataka bunge la mazuzu ni kugonga muhuri wa Ok.

Mama ameahidi kuendeleza yote mazuri ya malaika wa kuzimu, je wewe unajuww mama mazuri kwake ni yapi? Bado hakuna Suluhu ni utapeli mtupu.
 
Taarifa nilizonazo yule malaika wa kuzimu alitumia public fund kumuagizia huyu shetani mwenzake mashine ya dialysis ya kusafisha figo ipo nyumbani kwake wala haendi hospitali.

Kwahiyo ndio siri ya huyo tapeli kuwa kikaragosi cha malaika wa kuzimu chochote alichokuwa anataka bunge la mazuzu ni kugonga muhuri wa Ok.

Mama ameahidi kuendeleza yote mazuri ya malaika wa kuzimu, je wewe unajuww mama mazuri kwake ni yapi? Bado hakuna Suluhu ni utapeli mtupu.
Duh hii kali mkuu aise


Ova
 
Hapo sasa.

Hii ni nchi ya kipekee sana.

Viongozi wanapojiamria kufanya lolote wajisikialo kufanya, hata kuvunja sheria, huku wananchi wakishangilia!

Akheri ya hao wananchi wasiojua haya mambo, lakini watu wanaojihesabu kuwa ni waelewa, na wana elimu ya kutosha kabisa kutosema chochote mbele ya uhuni wa namna hii ni kujiondolea heshima.
 
Taarifa nilizonazo yule malaika wa kuzimu alitumia public fund kumuagizia huyu shetani mwenzake mashine ya dialysis ya kusafisha figo ipo nyumbani kwake wala haendi hospitali...
Mama akilikosoa bunge maana yake anashika makali ya kisu. Hakuna aliye tayari.
 
Mzee Pius Msekwa akihojiwa na mdada wa ITV ambapo aliulizwa je yeye wakati wa uspika wake aliwai pata kesi yoyote ya mbunge au wabunge kufukuzwa na chama chake na alichukuwa uamuzi gani? Mzee Msekwa alijibu na kusema kuwa imetokea mara kadhaa na kutolea mfano wa Mhs. Agustino Lyatonga Mrema. Anakili kuwa yeye alikuwa akifuata sharia za bunge na za katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tazania.

Mzee Msekwa anasema mbunge akifukuzwa katika chama chake anapoteza uwakilishi bungeni, na hiyo si sharia ya bunge ila ni sharia ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Anasema yeye wakati ule Agustino anafukuzwa na chama chake cha wakati ule chama cha NCCR MAGEUZI na akina Mabere Nyaucho Marando na wenzake kama Mzee Lamwai alipopata tu taarifa za maandishi Lyatonga alipoteza ubunge wake pale pale na kwenda kuanzisha chama chake cha TLP ambacho mpaka sasa yupo.

Hata hivyo mtangazaji alijaribu kuendeleza kuhoji na kuwataja wabunge wa Chadema (COVID 19) lakini Mzee huyu ambaea kwa sasa anaonekana umli umesogea sana alionyesha kuto kupenda kujadili swala hilo la COVID 19 na mtangazaji haraka wakabadirisha mada na kuendelea na mahojiano mengine.

Kumbe hii ni sharia ya katiba mama ya nchi yetu ambayo inasema kuwa kama mbunge atakuwa amefukuzwa na chama chake automatiki anakuwa si mwakilishi wa wananchi bungeni. Sasa inakuwaje kwa jinsi wabunge wengi tu waliopita waliendelea kubaki bungeni kama hawa waliopewa jina na ndugu zao COVID 19. Kama kuna wanasharia wanaoijua taurati hii watusaidie kwani kuna wabunge kama akina Kafulia na Zito walifukuzwa lakini waliendelea kupeta mpaka walipomaliza muda wao.

Lingine kwa watu wa sharia/torati watusaidie/wanisaidie mimi inakuwaje na wabunge wa kuteuliwa na Rais nao vipi wanakinga yoyote ya miaka 5 au imekaa kaaje au wanaweza kutumbuliwa au kutenguliwa? Na kwa sharia ipi. Au teuzi zao ni kama zile za kawaida yaani wanaweza kuteuliwa na kutenguliwa. Maana katika historia ya Tanzania bado haijawai tokea mbunge wa kuteuliwa na Raisi akatenguliwa, mwanasharia yoyote ashuke maana maisha ya sasa yanakwenda haraka sana.
 
Mzee Msekwa kasema ukweli, tuna matatizo makubwa kwenye uongozi wa Bunge la sasa, kama Bunge linatunga sheria then aliziheshimu hizo sheria hapo unategemea kitu gani.

Spika Job majibu tafadhali. .
 
Supika angemsikilia huyu mzee kwenye kipindi tv ya ITV, angepata japo mawili yangemsaidia, hasa kuhusu G55, mgogoro na utatuzi wake ambao Bunge lilibaki na heshima Pius Msekwa akabaki akiwa na busara na hekima! Ni mfano acha kuendeshwa!
 
Back
Top Bottom