Pius Msekwa: Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,960
2,000
Kutokana na Spika Mstaafu kueleza kuwa Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile.

Kwa vile bungeni kuna wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaoharibu pesa za wavuja jasho kwa kulindwa na mtu mmoja, napendekeza Spika ashitakiwe hata kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki.

Huo ndio ukweli
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
21,649

Toka zamani ilikuwa hivyo kabla ya utatu mchafu utatu wa vyura ule wa Spaka, Jaja na mtoto wa chatu
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
21,649
2,000
Supika angemsikilia huyu mzee kwenye kipindi tv ya ITV, angepata japo mawili yangemsaidia, hasa kuhusu G55, mgogoro na utatuzi wake ambao Bunge lilibaki na heshima Pius Msekwa akabaki akiwa na busara na hekima! Ni mfano acha kuendeshwa!
Ashakuwa shetani yule wala hashtuki tena. Hana Dhamiri kwenye nafai yale imekufa
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
9,038
2,000
Kutokana na Spika Mstaafu kueleza kuwa Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile.

Kwa vile bungeni kuna wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaoharibu pesa za wavuja jasho kwa kulindwa na mtu mmoja, napendekeza Spika ashitakiwe hata kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki.

Upo wakati Ndugai atasota mahakamani kama Sabaya.
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
2,025
2,000
Wadau nawasalimu.

Hakina inasikitisha sana kuona baadhi ya viongozi wetu walio apa kuilinda na kuisimamia katiba yetu wapo kimya huku katiba ikivunjwa kwa makusudi.

Naomba kuwauliza wahusika,kwa mujibu wa katiba iliopo mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania ni lazima atokane na chama cha siasa.

Lakini leo hii ndani ya bunge hilo kuna wabunge 19 wasio na chama lakini waliaapishwa kuwa wabunge wa viti maalum tena baada ya chama chao cha chadema kuwafukuza uanachama.

Wabunge hao 19 wamekuwa wakilipwa posho na mishahara ambayo ni kodi za masikini wanyonge wa taifa hili

Je, wapo wabunge hao 19 wapo bungeni kwa katiba ipi?

Baadhi ya maspika wastaafu wamediriki kusema wabunge hao hawa sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa katiba iliyopo

Tunawaona wahusika waheshimu katiba kama walivyoapa kuilinda.

Screenshot_20211104-064714.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom