King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,670 68,628 Oct 12, 2021 #62 BAK said: Inasikitisha na kushangaza sana Mkuu kuona mpaka hawa Wastaafu wanakuwa waoga kutoa maoni yao hadharani. Click to expand... Mbona ana hasira sana Pius Msekwa? Au ana Kisukari?
BAK said: Inasikitisha na kushangaza sana Mkuu kuona mpaka hawa Wastaafu wanakuwa waoga kutoa maoni yao hadharani. Click to expand... Mbona ana hasira sana Pius Msekwa? Au ana Kisukari?
Intelligence Justice JF-Expert Member Oct 23, 2020 3,039 3,479 Oct 12, 2021 #63 BAK said: Click to expand... Umetisha, umemchokoa aliyekuwa karani wa katiba ya 1977 na baadae akawa spika wa bunge alihisi hawezi kupumua akatambaa uvunguni akiacha simu ikianguka sakafuni....lah balaa
BAK said: Click to expand... Umetisha, umemchokoa aliyekuwa karani wa katiba ya 1977 na baadae akawa spika wa bunge alihisi hawezi kupumua akatambaa uvunguni akiacha simu ikianguka sakafuni....lah balaa
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Aug 24, 2011 49,191 103,714 Oct 12, 2021 #64 Wazee wa CCM ni hasara tupu
BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,789 288,011 Oct 12, 2021 Thread starter #65 Mafao Mkuu. King Kong III said: Mbona ana hasira sana Pius Msekwa? Au ana Kisukari? Click to expand...
Mafao Mkuu. King Kong III said: Mbona ana hasira sana Pius Msekwa? Au ana Kisukari? Click to expand...