Pitia hapa utoe maoni juu ya ubunifu huu

Bani Israel

JF-Expert Member
May 27, 2016
1,439
2,373
Anauza juice huyo mi nimemuungisha hapa kwakweli...

Uzi tayari..
IMG-20190831-WA0096-picsay.jpeg
 
Ngoja Wanawake wenye misambwanda feki kwa kuchoma sindano, kumeza vidonge, kupakaa dawa, skintight zenye hipsi/wowowo feki na wa plastic surgery waje wakutolee mapovu hapa kwa kuwaharibia biashara 7bu ya kumweka Mwanamke mzuri wa asili/OG
 
Naona
Bidhaa na Bizaa!

Wale mabaharia tunaonunua vyote, nadhani ni muda muafaka kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom